Habarini ndugu zangu,
Natumai mu wazima husika na kichwa cha habari hapo juu.
Baada ya kuleta uzi kuhusu namba ya ajabu iliyonipigia nilipata kuondokana na wasiwasi kutokana na coment mbimbali nikakaa kimya ndipo juzi Jumapili nikatumiwa text kwa what's app na demu wangu mmoja yupo Oman akaniambia yale masuala ya juzi kati alinipigia nikasema simjui kwa kweli nilimtukana matusi ya nguoni maana nilipata mshituko sana kuhusu ile simu.
Nikamuambia mimi nilikueleza namba zimekuja 88 tu nakuuliza wewe nani unanikatia simu na kunilaumu juu. Basi tukaongea yakaisha hivyo nichukue nafasi hii kuwashukuru kwa ushirikiano wenu na kuwatoa hofu kwa wengine watakaopata namba kama hizi wasiogope ni mambo tu ya mtandao sio uchawi wala ndumba.
Wasalam