hata pete unaweza kuvalishwa etiPongezi na usimuamin hadi pete itue kidolen....
Uliweka tangazo Jana, Leo umempata na ndoa n February. Asee, kama ulivyosema "wonder never seize"Habari wana jf.
Wapendwa mwaka jana nilitoa uzi wa kutafuta mchumba, na nashukuru Mungu walijitokeza wengi wenye na wasio na vigezo, wengine waume za watu(wonders never seize)
Nilifanikiwa kumpata mmoja aliyekidhi vigezo na tukaanzisha urafiki hatimae uchumba, na kwakweli he is such a wonderfull man,namshukuru Mungu kwa hilo sana.
Kwa neema ya Mungu ndoa ni Februari mwakani.
Hivyo niwatie moyo wale wanaotafuta, ila kuweni makini tu maana katika msafara wa mamba,kenge hawakosekani.
Shukrani jf.
Hata ikitua asimwamini asilimia zote pipo iz change an timePongezi na usimuamin hadi pete itue kidolen....
Kwahiyo kuna Kenge walikula mzigo wakasepa?Habari wana jf.
Wapendwa mwaka jana nilitoa uzi wa kutafuta mchumba, na nashukuru Mungu walijitokeza wengi wenye na wasio na vigezo, wengine waume za watu(wonders never seize)
Nilifanikiwa kumpata mmoja aliyekidhi vigezo na tukaanzisha urafiki hatimae uchumba, na kwakweli he is such a wonderfull man,namshukuru Mungu kwa hilo sana.
Kwa neema ya Mungu ndoa ni Februari mwakani.
Hivyo niwatie moyo wale wanaotafuta, ila kuweni makini tu maana katika msafara wa mamba,kenge hawakosekani.
Shukrani jf.
hongera sana mimi nakutana na kenge tu humu hongera kwa kupata mamba
thats very posible,Kwahiyo kuna Kenge walikula mzigo wakasepa?