Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
Mkuu huyu jamaa ana matatizo kweliUmpe namba ya principal kweli Sio kishoka.Sielewi kwa Nini huweki public hiyo namba unaficha Nini? Mkuu wa chuo Ni official figure weka namba zake za kiofisi hapa hakuna Cha PM .
Kaka sijui nimekukosea nini mimi.Anaficha akaunti anaficha namba ya ofisi ya mkuu wa chuo why? Eti namba ya mkuu wa chuo Siri utatumiwa PM .Namba za mkuu wa chuo za ofisi Sio Siri hata siku moja .Anayetaka kutapeliwa ruksa
Asante dadaangu.Kuna mmoja kasema atafatilia na kutoa mrejesho humu ndani kuwa mvumilivu j3 akileta mrejesho.Na kwa maoni yangu si vizuri kuweka namba ya kiofisi hapa sababu italeta usumbufu pale kila mtu atakapotaka kumpigia
Nimekuambia nimekufatilia long time ago,kuna mhitaji aliwahi kuja hapa uliongea shit sana.ila akajitolea member mmoja 150000 aende interview moshi.USIOMBE YAKUKUTE.kwani ukipita kimya kimya utawashwa?Anaficha akaunti anaficha namba ya ofisi ya mkuu wa chuo why? Eti namba ya mkuu wa chuo Siri utatumiwa PM .Namba za mkuu wa chuo za ofisi Sio Siri hata siku moja .Anayetaka kutapeliwa ruksa
Ni kweli ipp siku nitaandika kila kitu hapa juu ya hawa viongozi.Hata Mimi nimeshangaa sana aisee.
Yaani ofisi ya wilaya ikose akiba hata ya 1.2m kusaidia watu wenye matatizo Kama haya.
Kiukweli viongozi wengi hawajui wanachokifanya kwenye ofisi zao yaani wapo wapo tu ili mradi wanaenda kazini na kurudi.
Mdogo wangu usimuwazie huyo pimbi nitadeal naye officially. Sins msaada kwa sasa ila nitakutetea na kukuombea kwa allahKaka sijui nimekukosea nini mimi.
Nimeeleza vizuri kuhusu mfumo wa ulipaji ada nikiweka namba ya akaunti ukajitolea kulipa labda 10,000 je mimi nitawapa udhibitisho gani kwamba nimelipa na utaratibu wap ni kupeleka payslip.
Namba ya mkuu wa chuo,nisamehe siwezi kuiweka hapa nakutumia PM.
Mkuu #Da'Vinci: umepatwa na nini huwa napenda threads zakoYou know right now nimefikia hatua kuona Mungu hanijali.. ila haina noma mkuu yatapita
Ahsante sana kaka na nashukuru kwa kujitolea kwako kupoteza muda na rasirimali zako kufuatilia hili.Wakuu tayari kanitumia namba ya mkuu wa chuo na kwa bahati nzuri inavyoonekana mkuu wa chuo ni mnyaturu so ni kabila langu ambae nahisi tutaelewana kwa lugha nzuri kidogo, j3 nitafika mwenyewe chuoni kupata utaratibu na maelezo ya kina sana na nitawajuza kama ni kweli au laa nipo Singida hapa hivyo nitaifanya kazi hii kwa uaminifu mkubwa sana
Nakufatilia kwa umakini ukizingua huna pa kutokea.believe me or notWakuu tayari kanitumia namba ya mkuu wa chuo na kwa bahati nzuri inavyoonekana mkuu wa chuo ni mnyaturu so ni kabila langu ambae nahisi tutaelewana kwa lugha nzuri kidogo, j3 nitafika mwenyewe chuoni kupata utaratibu na maelezo ya kina sana na nitawajuza kama ni kweli au laa nipo Singida hapa hivyo nitaifanya kazi hii kwa uaminifu mkubwa sana
Sijawa wa hivyo mkuu kwani nafanya kwa moyo wangu na si kwa kulazimishwaNakufatilia kwa umakini ukizingua huna pa kutokea.believe me or not
Huyu kaangalia jina mpesa hana lolote.subiri matokeo kwani kaombwa ada yote?kashindwa hata 1000?Ahsante sana kaka na nashukuru kwa kujitolea kwako kupoteza muda na rasirimali zako kufuatilia hili.
Ni kweli fr.Gilbert Mwiru ni mnyaturu.
Msamehe bure Kaka angu.Sijawa wa hivyo mkuu kwani nafanya kwa moyo wangu na si kwa kulazimishwa
Saint Anne jtatu si mbali ila utaona jinsi binadamu tulivyo na kiburi cha uzimaMsamehe bure Kaka angu.
Jitahidi msaidie huyu Kaka...ana shida kweli.
Hapana Kaka yangu.Saint Anne jtatu si mbali ila utaona jinsi binadamu tulivyo na kiburi cha uzima
Tuombe uzima tuMsamehe bure Kaka angu.
Jitahidi msaidie huyu Kaka...ana shida kweli.