Mrejesho....!! Na Nilichojifunza!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrejesho....!! Na Nilichojifunza!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Sizinga, Aug 7, 2012.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Habarini bana!! Tulianzia hapa. Ahsanteni kwa wooote mliochangia ule uzi!!

  Sasa yule mshkaji wangu kumbe ni mimi mwenyewe, nilipiga simu jamaa wakaniambia boss kaondoka na atarudi baada ya siku 3 according to HR(it was true). Nikawa mpole!! Baada ya siku 3 nikapiga kwwa HR tena simu,nikaambiwa karudi na HR ataongea nae halafu nitapigiwa soon, ikawa kimya. Nikapiga tena kwa HR nikamwambia nije mwenyewe au niedelee kusubiria call, akaniambia usije tutakupigia sasa hivi. Nikavaa gwanda nikaenda mwenyewe hadi ofisini(nikafuata ushauri wa ZeMarcopolo, PakaJimmy, Katavi, afrodenzi, Dena Amsi na NasDaz).

  Kitu cha kwanza kufanya nikaenda hadi kwa yule Boss(ambaye aliifanyia interview na kunipa kazi/aliyesafiri)...Ile kunioa tu cha kwanza akaniambia kuwa alisafiri na alishahau na documents zangu hakumbuki aliziweka wapi (he is too busy to keep that). Hapa nikajifunza jambo!! Kwamba ningeendelea kuuweka eti kusubiria call ingekula kwangu!! Kumbe zile docs tayari zilikuwa kwa HR table,ila HR alikuwa busy akawa ananipa ahadi Hewa, kama anavyodai Edward Teller!!

  So hapo baada ya kumuona boss biashara ikawa imeisha, everything ikawa straight forward ingawa HR alikuwa busy lakini ndo hivyo tena, end of the day nikasubiri ticket yangu ya ndege naelekeaaaa hukoooooo visiwani.!!
  So sasa hivi nimetuliaaa kama ushauri wa NasDaz unavyojipambanua!!

  My regard
   
 2. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,311
  Likes Received: 1,580
  Trophy Points: 280
  It's good kwamba ulifanyia kazi ushauri....tht's gr8! Lakini hapo kwenye BLUE, waungwana tulishajua tu.....manake mwana-JF ukimsikia "rafiki yangu" basi anamaanisha yeye mwenyewe!!
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,356
  Trophy Points: 280
  Ungeendelea kusubiri ingekula kwako.
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Haswaaaaaah...manake nilipanga niende mkoa kusubiria call,yaani ingekula kwangu. Thanx katavi
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Hahaaaa,naona ushauri wako ulikomaa sana kwamba niende mwenyewe personally. Thanx bro, ujue ni muhimu ku2mia 3rd part,kuliko kujiweka mwenyewe.
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,541
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Hongera kwa kupata kazi.......kumbuka mwisho wa Barua uliandika WAKO MTIIFU!!!......
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  unaona sasa....ungesubiri bahati ingeenda kwa mwingine......
   
 8. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Offcoz I lean smthng big
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,463
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  watu bana..ooh mshkaj mshkaj kumbe ni wewe menyewe..unafikiri unamdanganya nani?
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Sinziga vipi kazi mpya?????!!! Unajienjoy????
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  nainjoy ever before...i wish nikutumie nauli uje unisabahi huku,will u come dena if i invite u?
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Nitakuja kabisa usijali
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Waoh...sawa,ukiwa free just niPM tumalizane chemba,sawa? Usisahau kuwasalimia watani zetu huko. Mwa@@@@@@@!!!!!!!
   
 14. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,832
  Likes Received: 754
  Trophy Points: 280
  Face to face communication matter a lot
   
 15. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,814
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Umeona eeh,yaani hapa JF sijawahi kukutana na member yeyote face to face,am looking for,vp lakini mzima wewe?
   
Loading...