estlyjonathan
Member
- May 26, 2016
- 84
- 122
Siku za nyuma nilileta habari hii; Nahisi mpenzi wangu hajui kusoma
Hatimaye nishaujua ukweli kuhusu mpenzi wangu kuwa hajui kuandika wala kusoma, ilikuwa hivi ilikuwa siku ya jana naenda kuoga nikampa diary na peni aniandikie ujumbe wowote, yani navyorudi nilichokiona ikabidi ninyamaze aliniandikia maandishi 2,3 ila alikosea kidogo kuandika.
Ndipo hapo aliponiambia ukweli kuwa hajui wala sikumdharau wala nini nikamwambia usijali mbona mambo ya kawaida hayo, ila kuna vitu vingine alishawahi kunidanganya ndipo nilipogundua akaniambia ukweli kuwa aliogopa kuniambia ukweli alidhani nitamdharau ila binafsi sina tabia hiyo ya kumdharau mtu pia inachangia kwa sababu nampenda na hatimaye mwezi wa kumi anakuja rasmi kujitambulisha na process zingine ziweze kuendelea.