Mrejesho: Mke wangu kakubali kutumia ARVs

Mrejesho: Mke wangu kakubali kutumia ARVs

hahahha. mzibua chemba mie sio mwanaume.
bc usiwe unaunga hoja za kijinga jamaa anatusaidia sana kiujasiri pia anakitu cha kujifunza kwake kama ww mzima shukuru mungu pia unaweza jilinda mumeo akakuletea alafu usisahau mdomo huumba
 
mkuu tambua humu ni jukwaa huru pia watu wengi wana matatizo tofauti na unavyofikiria pia Kuna waliothika na vvu wana stress adi wengine wanatamani kujiua pia tambua kua Kuna ambao wanajifunza kupia mm. pia mm Kuna ninayojifunza kupitia comment za watu. na utambue matatizo ni sehem ya maisha na siyo tuu ujue ww ukijilinda hutaupata ugonjwa pia unaweza usipate vvu ukapata ajili ukakatika miguu au ukawa kipofu gafla. dunia ina mambo mengi. jitahidi kuwa na breki ya mdomo ndugu. usione mtu anatembea barabaran kawa chizi unadhani kapenda? usione wanaojiuza unadhani wamependa? jibu hili ulishapata fastression yyt ktka maisha yako? mkuu dunia ina mambo sana na majaribu sana

Achana nae... kuna watu ni wapuuzi sana humu duniani... akishiba na kujisaidia leo anaona kamaliza kila kitu...
 
na huyu anaunga ujinga sana nyie ndiyo wanaume wa daslam ee
Stress zako za maisha ndo unakuja kumalizia hapa? Kila mmoja yuko huru na maoni yake, kama wanachokomenti wenzako ni ujinga, hebu wewe weka werevu wako tuuone.
 
Stress zako za maisha ndo unakuja kumalizia hapa? Kila mmoja yuko huru na maoni yake, kama wanachokomenti wenzako ni ujinga, hebu wewe weka werevu wako tuuone.
yaani kifupi umedharaulika kabisa kila mtu kukudharau humu akili zako za viroba
 
yaani umejidharaulisha ata shule inakaa ni bogazi
Aisee, kujidharaulisha kwa kuwa nimemuuliza ni kwa nini kila jambo aweke hapa jukwaani? Kila mtu ana namna ya kutafsiri mambo, kwa tafsiri yangu ndio nimeona hivyo, kwa nini ukereke na maoni yangu? Kudharaulika kwa sababu nimetofautiana kifikra na wewe? So unataka kila anachowaza mtu nami niwaze hicho hicho? Nimekomenti kile ninachokiamini, kama unaona ni ujinga basi wewe weka kile unachoamini ni sahihi.

Eti nimejidharaulisha, so what?
 
Jamani inawezekana kwa frustrations ndio maana anaweka humu walau apate public sympathy.Ile iwe nafuu kwake.
Japo sio vyema kuweka mambo haya mtandaoni
Bila kuyaweka apa kuna watu hawaelewi mambo na kupitia threads za uyu kuna watu wamejifunza mengi
 
Pongezi kwake kwani ni habari njema kwetu sote.
 
Mungu awabariki na azidi kuwasimamia katika kipindi hiki.Hakuna aijuye kesho yake
 
Nadhani wengi mtakumbuka nilivyoleta uzi apa wife kwa imani yake aligoma kutumia ARVs, kwenye uzi kuna point nilichukua na nashukuru nilizifanyia kazi.

Jana ilikuwa hivi nilimbembeleza niliamka saa kumi na moja nikaanza kuongea nae akaanza kanielewa, Mungu alivyo mkubwa nikaenda kituo cha afya nikiwa sina wasiwasi wowote nilipofika nikamkuta mpimaji VVU mwenyewe alishangaa nilivyokua najiamini tuliongea mengi bahati nzuri alikua kaokoka.

Nilimpigia wife simu nikamwomba aje kweli akaja mama akatoa somo sana kiukweli akaelewa nikapima nae kapima nashukuru kakubali kutumia dawa. nashukuru sasa nimeacha tabia na njia zote zisizompendeza Mungu nimekua mtu wa kujiamini sana hadi madocta walinisifu kuwa ni mfano wa kuigwa.
mkuu umshawishi pia na yule uliyemuambukiza kwa makusudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom