Mrejesho: Mini-EX wangu Amenirudia!

Kosa kubwa tunalofanya katika mahusiano ni pale tunapotengana na wenzi wetu kwa zaid ya miez mitatu kisha tunarudiana na kuendeleza mapenzi kama kawaida pasipo kuzingatia swala la kucheki afya na hapa ndipo tunakufa kikondoo.Ndugu unapotengana na mwenza wako,huez jua mwenzako atachagua njia gani ya kuzituliza stress zake,wengine huwa wanaanzisha mahusiano na watu wengine ili tu wasahau matatizo yaliyopita na hapa wakikuta huyu mpenzi mpya ana matatzo kuliko yule wa zaman basi hujuta na kuamua kurud katika mahusiano ya zaman, sasa swali ni kwamba tunakuwa na uhakika kias gani kwamba tumetoka salama katika mahusiano ya muda mfupi?ni vema mnapotengana na kuamua kurudiana muangalie kwanza afya zenu kama mpo salama kabla ya kuanza kugegedana.Ni ushauri tu kutokana na experience nliyoipata kwa mdogo wangu alitengana na mwenzi wake walipokuja kurudiana akapata kaswende[emoji54][emoji54][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]mangi niongeze bia nkalale
 
Ndio Maana Nawatazama Tu Wanawake Wanaosema Hawawezi Kula Matapishi Waliyoyatema
 
Basi la BM hilo limezurura miji kibao sasa limeona thamani yake imekwisha, limerudi kuzeekea gereji ya BM iliyopo Iringa Road pale Moro......... Yaani kirahisi ajilete hivyo, kugusa maneno kidogo kawa kama puto kwenye mwiba yaani pasuuuuu! Wakati alikukimbia
 
Ukiona mtu karudi ujue alipoenda kadanganywa
True...

Hivi demu aende kwa njemba inatoa mshiko wa maana na ana lihogo anajua kulitumia hawezi rudi asee![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ukiona karudi ujue , kakopwa na kamwagwa!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa. Na alivyompa sifa mpaka nimebaki mdomo wazi.
Wee acha tuu..

Mwanaume akipenda anakuwaga fala!

Hata akifumania anaishia kusema wife kalogwa sio akili yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Nakuona unavojikaanga utarudi hapa baada ua kiporo kuchacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…