Mrejesho: Mini-EX wangu Amenirudia!

Mrejesho: Mini-EX wangu Amenirudia!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,315
Reaction score
8,747
Habari zenu wana MMU Kama sikosei mwishoni mwa Mwezi June Nililetaa uzi uhusuo Mimi na Kipenzi changu Kuachana Basi nilimsahau kiufupi japo nilikuwa Nampenda Kiasi!
sasa kila nikitazama our old conversation nilikuwa naumia flani na nkicheki ata picha zetu za pamoja nilikuwa Naumia Kiasi!
sasa jana braza enu nikiwa mtaani na Mishe mishe zangu nashtuka namuona mtoto wa kike (hatukuonana kama miezi 6) nikashangaa kwa mshtuko na yeye vivo hivo basi hapa na pale kwa kiaibu cha Mahaba akaniambia anawahi! nami nikamruhusu daah si jion akaniibukia kunitafta nikamtania tyu kwamba pliz comeback am alone hee nashangaa mtotoo anaanza kulia anadai A nilikuwa Naumia sana kipindi chote ambapo tumeachana!
Daaah kiukweli niliduwaa basi akaniambia nimerudi kwako na namuomba Mungu Tusije achana tena na mimi hapo akili sina maana sio kwa ile shepu na uzuri!.
Kiufupi sijawahi date na mwanamke mwenye msambwanda kama huyu yaani wa kutoshaa watotoo wa mujini wanaitaa Churaa!
Anyway Leo mtotoo akatiaa timu gheto kwa Engineer Akapata Halali yake kama Mwanamke yaani Hapa napokea sms za shukrani tyu maraa eti zawad gani Nikupe!
Hahahaa Jamani Mapenzi Raaha! Hata kama kuna Kuumizana ile kityme cha Furaaha kunaa Raahaa ya Ajabu!

Anyway siku Njema Ndugu Na Amani ya Bwana iwe Pamoja Nawe!
 
0524069e0cdf0f8665e3721670f560e66f85fb-v5-wm.jpg
 
Bado tuko ..chato

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom