Ilishatoka hiyoUsirudi nyuma..hongera
Njoo pm tuyajenge pole sana maisha bila kuangalia mbele sawa na bureNi siku nyingi zimepita ,nimeona ni vyema nitoe mrejesho. Kesi ilimalizika mwaka 2017, na nilipata talaka yangu, hilo ndilo jambo la msingi kwangu.
Alifanikiwa kuchukua gari polisi maana polisi walisema ni kesi ya madai na sio ya jinai. Baada ya kuchukua gari alienda kuiuza na
AsanteHongera
MhhhNjoo pm tuyajenge pole sana maisha bila kuangalia mbele sawa na bure
Nilishatibiwa na nina uwezo wa kupata mtoto kwa kawaidaTatizo lako halina tiba?
Vipi kuhusu haja yako ya kupata mtoto?
Huwezi kutumia njia nyingine kupata mtoto ukiondoa tendo la ndoa?
Kutokufanikiwa kwake,sio kwa sababu mliachana(kuwchsna iweza kuchangia),akituliza akili anaweza kufanikiwa tu,Ni siku nyingi zimepita ,nimeona ni vyema nitoe mrejesho. Kesi ilimalizika mwaka 2017, na nilipata talaka yangu, hilo ndilo jambo la msingi kwangu.
Alifanikiwa kuchukua gari polisi maana polisi walisema ni kesi ya madai na sio ya jinai. Baada ya kuchukua gari alienda kuiuza na kununua gari jingine. Nalo likapata ajali akaliuza kwa bei ya hasara , sasa hivi yupo tu mtaani. Nyumba alibaki nayo na mimi nikabaki na kiwanja.
Mwaka jana aliwaambia wazazi wake anataka kuja kuomba msamaha sababu anaona maisha yake yamekuwa na mikosi na hajaweza kufanikiwa toka tumeachana. Wazazi wakamuambia anitafute mwenyewe, ila hakufanya hivyo sababu anaona aibu. Mimi nilishamsamehe, ingawa hakuwahi kuja kuomba msamaha.
Ni yeye kutubu kwa Mungu wake. Nishamove on, na niliweza kufanya mendeleo mengine mengi. Mungu amenipa vibgi zaidi. Nashukuru sana kwa michango yenu
Soma zaidi https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/876139-maneno-ya-kejeli-ya-mume-wangu.html
Yeye ndie anajua kwanini hajafanikiwa. Inawezekana ni ile hali ya kujutia tu. Siwezi hukumu kwa hilo, yeye ndie anajihukumu.Kutokufanikiwa kwake,sio kwa sababu mliachana(kuwchsna iweza kuchangia),akituliza akili anaweza kufanikiwa tu,
Sijui kwa nini haufungukiLeta huo uzi mbona haufunguki. Kwanza hongera kwa kuwa na amani