chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,369
- 27,785
Habari zenu wana-MMU,.
Kwanza kabla ya yote nielekeze pongezi zangu za dhati kwa wale wote waliojitolea muda na akili zao katika kunishauri katika uzi wangu niliouleta hapa jamvini siku chache zilizopita,.
Haijalishi kama ulinibeza au kunitamkia maneno yasiyojenga kwani naamini katika kutofautiana ndipo muafaka sahihi unaweza kufikiwa,.
Wakuu Jambo la msingi lililonisababishia kufungua huu uzi ni kwamba nimeamua mwenyewe kwa moyo wangu wa dhati kujenga familia na msichana ambaye nilimuelezea hapa Jamvini,.
Kwa sasa yeye yupo Dar na mimi nipo nje ya Dar lakini huwa tunawasiliana mara kwa mara,.
Nawaomba mnishauri nifanye kitu gani ili niweze kujihakikishia kwamba lengo langu la kujenga familia naye linafanikiwa ingawa sina wasiwasi naye maana kwa sasa bado najipanga kimaisha,.
Natanguliza Shukrani wakuu,..