Mrejesho: kutoka tangazo la Mwalimu wa kike

Mrejesho: kutoka tangazo la Mwalimu wa kike

evocom

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
269
Reaction score
250
Juzi kati nilitoa tangazo la aliyekuwa anaitaji mwalimu wa kike kwa masomo ya Kiswahili na History, kwa wale waliofanya mawasiliano kuna ambaye amekidhi vigezo ivo.
asante kwa ushirikiano.
 
Juzi kati nilitoa tangazo la aliyekuwa anaitaji mwalimu wa kike kwa masomo ya Kiswahili na History, kwa wale waliofanya mawasiliano kuna ambaye amekidhi vigezo ivo.
asante kwa ushirikiano.

Ni matumaini yetu kuwa na matumizi ya Condom yatazingatiwa vile vile.
 
picha tunaomba mkuu ili tulete wanetu wafundishwe na huyo mwalimu.
N.B tunataka picha full at least mbili zisiwe pasportsize
 
Wahenga @ kufa kufaana.com.

sent from my land lover 109 using Jamii forums app
 
Back
Top Bottom