Bila kupoteza muda niwashukuru sana wale waliojitoa kunipa ushauri nini cha kifanya. Jana nilileta uzi hapa wa kuhusu mkopo wangu deni kuongezeka.Huu ni wizi mpya NMB ama nini shida?
Nimekwenda pale NMB ni kweli kulikuwa na matatizo wakuu ila nimeshughulikiwa vizuri kabisa kwa ushirikiano na HR lakini pia kwa kutambua michango yenu naomba kuunga uzi hapa kuwa shemeji yenu halipi kodi (kuona mwezi) zaidi ya miezi 6 sasa tumepima mara kadhaa hana ujauzito.
Umechomekea mkuu, ushauri nenda jukwaa la JF doctors kandike hiyo hoja ya shemeji , au jukwaa na mapenzi, urafiki uko wapo wadau wengi sana ambao huku huwa hawaingii sana
Umechomekea mkuu, ushauri nenda jukwaa la JF doctors kandike hiyo hoja ya shemeji , au jukwaa na mapenzi, urafiki uko wapo wadau wengi sana ambao huku huwa hawaingii sana