Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,581
- 48,737
Nawashukuru wote mlionipa ushauri kwenye hii post yangu Wanaume mnasababisha tuwe wanene, Mungu anawaona! kusema kweli imekuwa shida kwangu kupungua maana tatizo lipo palepale .Nimeona niache tu kujitesa nilichoamua ni kunenepa tu japo sikubali niwe na kitambi huko kwingine kunenepeane tu .Asanteni
So far leo nimekula mayai manne ya kukaanga ,juice ,kipande cha kuku na chapati mbili .Sijui kitakachotokea tena huko mbeleni
So far leo nimekula mayai manne ya kukaanga ,juice ,kipande cha kuku na chapati mbili .Sijui kitakachotokea tena huko mbeleni