Mrejesho kuhusu Kuomba hifadhi ya siku tatu Mtwara

Daah kweli ubinadamu kazi

Kwahyo umesaidiwa wewe ukaamua ubebe wenzako watatu

Una bahati Dr ni mpole ana roho nzuri na pengine ulimkwaza ila ameamua apotezee tu

angekuwa mwengine Durex na ky jelly zingetumika kwa hao wazamiaji wawili
 
Hata huyo mwenyeji wako aliye kuhost atambue kuwa adui Wa binadamu ni binadamu, pia atambue kuwa wema ni ajali maisha ya sasa ogopa sana kukaribisha watu usiowafahamu nyumbani kwako iko siku utalia na hakutakuwa na mtu Wa kukufuta machozi.
Mtu wa kumfuta machozi atakuwepo tuu..hata iweje..watu wote c kama ww usiewafuta machozi waliopatwa na shida
 
Hata huyo mwenyeji wako aliye kuhost atambue kuwa adui Wa binadamu ni binadamu, pia atambue kuwa wema ni ajali maisha ya sasa ogopa sana kukaribisha watu usiowafahamu nyumbani kwako iko siku utalia na hakutakuwa na mtu Wa kukufuta machozi.
Kaka siku ukipatwa na la kupatwa haswa ugenini na watu wakupite tu as if hawakujui ndio utajua kuwa msaada unatolewa kwa unaemjua tu au lah, Iko ivi kama mtu ame show proof zote kuwa yeye sio stranger shida iko wapi kumhost tu? Natamani kujua hata unaishi vipi na majirani zako
 
Daah kweli ubinadamu kazi

Kwahyo umesaidiwa wewe ukaamua ubebe wenzako watatu

Una bahati Dr ni mpole ana roho nzuri na pengine ulimkwaza ila ameamua apotezee tu

angekuwa mwengine Durex na ky jelly zingetumika kwa hao wazamiaji wawili
Alikuwa informed before na aka agree mkuu kwasababu alikuwa na enough space.
 
Kaka siku ukipatwa na la kupatwa haswa ugenini na watu wakupite tu as if hawakujui ndio utajua kuwa msaada unatolewa kwa unaemjua tu au lah, Iko ivi kama mtu ame show proof zote kuwa yeye sio stranger shida iko wapi kumhost tu? Natamani kujua hata unaishi vipi na majirani zako
Unaongea habar za majirani!!! Majirani naishi nao vzr sana ila tatzo kwenye kumpokea mgeni nisiyemjua na kumpa hifadhi ya kulala kwangu hapo nop. Bora kama ana shida naweza kumsaidia kumpa hela akalale gest ila sio kwangu
 
Hii ilimtokea ndg yangu Wa damu kabisa ni hivi:

Ndg yangu alikuwa ana maisha yake kijijini na alikuwa na mashamba na alikuwa anafuga.

Siku moja akaja kijana mmoja Kwa lengo la kutafuta kazi alikuwa anajitetea kuwa ana maisha magumu sana kwao na pia anategemewa, hivyo ameamua kutafuta kazi Kwaajili ya kujikimu.

Kwakuwa huyo ndg yangu alikuwa na uwezo akaamua kumwajiri kama mfanyakazi shambani kwake.

Bahati mbaya kumbe yule kijana amekimbia kwao kwa kesi ya kumuua diwani, kumbe huko anatafutwa hasa.

Wakaanza kumtafuta kupitia mawasiliano yake na hatmaye mnara ukasoma kwenye kijiji alipo ambapo ndio anapoishi huyu ndg yangu.

Baada ya njagu kufika ktk kijiji hicho ikabidi wachukua namba anazowasiliana nazo Mara Kwa Mara moja ya namba alizokuwa anawasiliana nazo ni za ndg yangu.

Ikabidi ndg yangu akamatwe na kuhojiwa juu ya kumfahamu mtu wanayemtafuta, ndg yangu akakubari kuwa anamfahamu ni mfanyakazi wake na yuko shambani kwake akakubari kuwapeleka.

Baada ya hapo ikabidi ndg yangu ampigie simu, kupiga simu haipatikani wakaamua kwenda kumfuata shambani wakat huo ndg yangu anapingu mkononi, kufika shambani jamaa hayupo sijui alikuwa na machale gani tafuta wee hamna mtu. Hapo ndio ukawa mwanzo Wa misukosuko Kwa ndg yetu.

Ikabidi wamchukue ndg yetu na kwenda naye DSM ukaja usumbufu kwetu kuanza kumtafuta huyo jamaa ili tu kumnusuru ndg yetu.

Yaani tangu hapo nikajifunza kitu.
 
Hata huyo mwenyeji wako aliye kuhost atambue kuwa adui Wa binadamu ni binadamu, pia atambue kuwa wema ni ajali maisha ya sasa ogopa sana kukaribisha watu usiowafahamu nyumbani kwako iko siku utalia na hakutakuwa na mtu Wa kukufuta machozi.
Pessimists hamkosekani
 
Kwa akili hizi hao TANESKO watafanya kosa Sana kukuoa kazi maana huko ofisin itakua kijiwe Cha wadau kupiga soga na kutumia Wi-Fi ya ofis
 
Hata huyo mwenyeji wako aliye kuhost atambue kuwa adui Wa binadamu ni binadamu, pia atambue kuwa wema ni ajali maisha ya sasa ogopa sana kukaribisha watu usiowafahamu nyumbani kwako iko siku utalia na hakutakuwa na mtu Wa kukufuta machozi.
Una roho ya shetani! Labda nikufahamishe tu, kwa Msukuma chakula wala hakihesabu kama ni kitu, anajua utakula, utashiba na muda ukifika utaenda chooni hapo ndio wisho wa ukichokula! Vikabila uchwara ndivyo vyenye roho mbaya kama ya kwako! Dr. Mayalla ni Msukuma asilia
 
Duh! Sawa bhana kwahyo uwezo wako Wa kufikir umeishia kwenye chakula?
 
Kaka siku ukipatwa na la kupatwa haswa ugenini na watu wakupite tu as if hawakujui ndio utajua kuwa msaada unatolewa kwa unaemjua tu au lah, Iko ivi kama mtu ame show proof zote kuwa yeye sio stranger shida iko wapi kumhost tu? Natamani kujua hata unaishi vipi na majirani zako
Mijitu yenye roho mbaya kama hilo hayanaga jirani wala rafiki
 
Back
Top Bottom