Mrejesho kuhusu Kuomba hifadhi ya siku tatu Mtwara

Hata huyo mwenyeji wako aliye kuhost atambue kuwa adui Wa binadamu ni binadamu, pia atambue kuwa wema ni ajali maisha ya sasa ogopa sana kukaribisha watu usiowafahamu nyumbani kwako iko siku utalia na hakutakuwa na mtu Wa kukufuta machozi.
 
Kwahiyo unamshauri next time, asikaribishe mtu sio? Unaona upo salama sana kwamba katika maisha yako hutohitaji msaada kutoka kwa mtu usiyemfahamu?? Assume watu wote wawe na roho kama ya kwako kwamba kumsaidia mtu lazima umfahamu, unadhan Dunia itakuwa sehemu salama ya kuishi chief??

Dah... Nahisi hao binadamu anaowaongelea ambao hawapaswi kukaribishwa ni watu wa kaliba yake
Kwahiyo unamshauri next time, asikaribishe mtu sio? Unaona upo salama sana kwamba katika maisha yako hutohitaji msaada kutoka kwa mtu usiyemfahamu?? Assume watu wote wawe na roho kama ya kwako kwamba kumsaidia mtu lazima umfahamu, unadhan Dunia itakuwa sehemu salama ya kuishi chief??
 
Hata huyo mwenyeji wako aliye kuhost atambue kuwa adui Wa binadamu ni binadamu, pia atambue kuwa wema ni ajali maisha ya sasa ogopa sana kukaribisha watu usiowafahamu nyumbani kwako iko siku utalia na hakutakuwa na mtu Wa kukufuta machozi.
Jamii ina watu wa kila aina haiwezi kuwa na watu wanaofanana, kuna wenye roho ya kusaidia bila kujali yajayo na kuna wenye roho kama yako pia, ndio keshamsaidia hivyo!
 
Hata huyo mwenyeji wako aliye kuhost atambue kuwa adui Wa binadamu ni binadamu, pia atambue kuwa wema ni ajali maisha ya sasa ogopa sana kukaribisha watu usiowafahamu nyumbani kwako iko siku utalia na hakutakuwa na mtu Wa kukufuta machozi.

Huu ushauri wako unafanya watu wa aina hii wapungue duniani. Naomba asifanyie kazi comment yako. Cha msingi ajue ID ya mtu anayemkaribisha basi.
 
Hongera nyingi zimfikie mwenyeji wako. Ila hujatupa na mrejesho wa hiyo interview yako! Vipi mambo yalikwendaje? Au bado mnasikilizia tu majibu mpaka leo?
 
mkuu hao rafiki zako ulioenda nao ulimtaarifu before or ulimfanyia tu suprise...???...mbona kwenye uzi wako wakuomba hifadhi hukusema kabisa mwanzo kuwa upo na rafiki zako watatu???
 
Kwahiyo unamshauri next time, asikaribishe mtu sio? Unaona upo salama sana kwamba katika maisha yako hutohitaji msaada kutoka kwa mtu usiyemfahamu?? Assume watu wote wawe na roho kama ya kwako kwamba kumsaidia mtu lazima umfahamu, unadhan Dunia itakuwa sehemu salama ya kuishi chief??
Lakn Mara nyingi mtu hujifunza mpaka yamkute. Kama hayajawahi kukukuta utaona Nina roho mbaya
 
Back
Top Bottom