Unajua wewe unadhani kuachana ni kukomoana, hapana siyo hivyo.
Mtafute haraka mzee, akipata mtu wa kumshauri wakabomoa nyumba wakaiba vitu itakuwa mbaya kwako.
Maana nyumba haina mtu kwa sasa, ni rahisi kubomoa tena kwa mtu aliyekuwa anakaa anaijua vizuri.