"KAKA'' yangu naona ni cheo ambacho kinakufaa kuliko kukuita mkuu.Upo sahihi sana ktk fikra zako ila tu hilo la human trafficking naona halijakaa vizuri,ingawa kiukweli kwa maudhi ya Hawa viumbe na tamaa zao pamoja na vitimbi ambavyo wanavyo,hasa kutokana na kujifanya wao ni wakala wa shetani tena kwa Bure kabisa,unaweza jikuta na mawazo ya kufanya jambo ambalo ni la kuwakomoa....
Kimsingi kabisa usipoteze pesa zako kwa ajili ya Hawa wapuuzi ila km yameshakukuta lakn.maana km hujakutana na vitimbi vya Hawa mawakala wa shetani unaweza mdharau Bure yule ambaye anawalalamika...Na naomba sana nisiekeweke vibaya kwa kuwaita agents wa ibirisi,hii ni kutokana na ukweli ambao haujavaa nguo kuwa kila wanapofanya upuuzi wao hukimbilia kusema ," Ni shetani tu ambaye alinipitia kufanya hayo''.Swali linakuja km huyo shetani ndio anaushawishi MKUBWA kwako kiasi hicho mbona hata hiyo iliyo km mbegu ya tende humpi yeye?
Usiwaze sana kuwarudishia ubaya wao kwakuwa wengi wao ni ndugu za marafiki zetu na pengine ni Dada zetu.Tena unaweza shangaa kabisa wamelelewa ktk malezi bora kabisa.Ubora wa maadili,hekma na busara kabisa ila bado wanafanya Ujinga..
Km una watoto!,try to use your available finance for them rather than Hawa viumbe.Ila km huna basi wazo lako sio baya na jambo lingine wekeza kwa ajili ya kizazi chako kijacho.Ingawa swali laweza kuja tena nitazaa na nani?..hapo sasa ndipo jibu linakuja kwa urahisi kabisa kuwa utaingia ktk mahusiano na Hawa mawakala wa ibilisi kwa lengo LA kuzaa nae tu then unampotezea(ingawa sishauri sana hili kwakuwa wapo wengine wanajitambua sana na Mwenyezi Mungu Azidi kuwapa hiyo hekma)...Ni hayo tu KAKA kwa sasa nitarudi baadae