Wana jamvi habarini,
Juzi kati kama week kadhaa hivi mchumba aliniacha kwa notice ya dharura.
Nikaja humu nikalia lia yakaisha niliamua kukaa kimya sikuwa na namna yaku access ili walau nimuulize kulikoni mana line za simu alinitumishia sio haikuwa rahis pia mimi kuweza kumtafuta japo tuko jiji moja.
Leo niko job nikapata text ananiuliza ----- unaendeleaje? Sikujib ni no mpya nikiwa break nikapata simu ikiita kupokea ni mtu wangu ambae alinishock muda sio mrefu.
Ananiambia ---- flan please sahau yaliyopita ninaumwa niko hospitalini nimelazwa siko powa tokea tuachane.
Sasa najiuliza nitaendaje hospitali wakati aliniacha?
Nisahauje yaliyopita kirahisi ivi? Aliniacha gafla,
ALOOO KAMA VILE KWANZA SIAMINI ILA NAMWOGOPA SII KIDOGO KWA KUNITWANGA TALAKA YA GHAFLA
Kaniacha ghafla, nimechoka na mahusiano nimeamua kuwa single