Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,854
Rakims kapotea ghafla na mada zake ambazo kwa muda mrefu zilifanya watu tukatafuta vitabu na kufanya utafiti wa hilo na kugundua ukweli wa kinachoendelea.
Astral projection ipo na kwa mujibu wa tafiti yangu binafsi nimegundua kwamba unapoanza mwanzo unaweza kuona ni jambo kubwa kuliko ila kadri utakavyoendelea utagundua ni jinsi gani ubongo wako utafunguka na kuelewa zaidi.
Ni mazoezi yalofanyika toka miaka mingi na zipo jamii zinazoamini sana ktk spirituality,lakin kwa nyakati nyingi ukweli umekuwa ukifichwa.
Rakims na baadhi wamekuwa wakijaribu kuweka wazi elimu hizo ambazo kwa nchi zetu za kiafrika zinabaniwa sana kutolewa.
Tofauti na dhana ya wengi,kuna mengi ya kujifunza.

Last edited by a moderator: