Mrejesho Jaribio la Astral Projection

Mrejesho Jaribio la Astral Projection

Woga wako ndo umaskini wako je unaijua umbilical cold?
Ukiwa out of body no harm unaunganishwa na kitu inaitwa silver cold sawa na umbilical cold inayomuunganisha mama na mtoto.

niache na uoga wangu ndugu...we endelea na ujanja wako..!
 
dah angalia sana mkuu,mwili wako unaweza usirudiwe na kiwiliwili
 
Woga wako ndo umaskini wako je unaijua umbilical cold?
Ukiwa out of body no harm unaunganishwa na kitu inaitwa silver cold sawa na umbilical cold inayomuunganisha mama na mtoto.

umbilical cold?hii mpya
 
  • Thanks
Reactions: amu
@Rakims una uzi ulizungumzia jinsi ya kufanya astra projection. Nimejaribu na feedbak ni hivi nmeishia pale kwenye ganzi maana nilihisi kama mwili unamong'onyoka,

Halaf pumzi najikuta nabana naskilizia mwili unavyobongonyoka. Nifafanulieni vizuri hapa maana hadi nimepandisha homa asubuhi. Ikiwezekana nipeni easy ways.

Help!

There is no easy way when you are selling your soul without knowing and you think it is a game.There is a hidden agenda, wake up and live.
 
@Rakims una uzi ulizungumzia jinsi ya kufanya astra projection. Nimejaribu na feedbak ni hivi nmeishia pale kwenye ganzi maana nilihisi kama mwili unamong'onyoka,

Halaf pumzi najikuta nabana naskilizia mwili unavyobongonyoka. Nifafanulieni vizuri hapa maana hadi nimepandisha homa asubuhi. Ikiwezekana nipeni easy ways.

Help!

Acha kuonja sumu wewe
 
Woga wako ndo umaskini wako je unaijua umbilical cold?
Ukiwa out of body no harm unaunganishwa na kitu inaitwa silver cold sawa na umbilical cold inayomuunganisha mama na mtoto.

Inaonekana uko deep kwenye elimu hii, je unaweza kunipa mwongozo kidogo?? Nna mengi yananitatiza
 
Soma kwanza ule uzi wa Rakims ameelezea kwa kina then tutaenda sawa!

Niumesoma na comments zote nimepitia.... Na nilimuuliza swali ila la mwisho halijajibiwa mpaka leo. Labda hajaingia JF
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom