Mrejesho: Huyu mwanamke hataki kufanya usafi

Mrejesho: Huyu mwanamke hataki kufanya usafi

umesema ni asili ya mwanaume kubadili mboga hivyo hata umpikie nini na viungo vyote atataka kwenda kuonja na kwa jirani tu!
sasa hiyo ndo dawa yake

eeeeh,,mwachie kdg awe anamsalimia hata huyo jran yake kwa sku moja
 
Usiache akaisoma hii, ikawa haisimami nje tena. Ndo hivyo kubali matokeo.......mavuzi for life till death do us apart!

cc Kidume cha mbegu
 
Last edited by a moderator:
Kawagegedee kwako labda kakufanyia mambo ukiwa guest mambo yagome.Msitu huko ikulu ndo dawa yenyewe akikata kamwe hutapata madhila.hahaa
 
Hahahaha wewe umenyoa hilo vuz lkn?Au ndo unamkomalia mwenzako tu kisa huon pakuingilia?

Thn nan alkwambia ukichepuka ndo suluhisho la tatizo lako?

We komaa nae tu kumueleza vizur atakuelewa ila kama umedhamiria kufia guest we komaa tu na hyo tabia tu
 
Habari za jumapili wana jf


Mimi nina mchumba wangu ambaye kuna siku niliomba ushauri humu wa jinsi ya kumfanya ili apende kufanya usafi maeneo yake....

Mbali na hiyo pia nina wadada wawili pembeni yeye hawajuwai na wala hawafamiani wote na hii ilitokana yeye kuwa na mgomo wa kunyowa manywele yake sehemu za sili ikanibidi nitafute msafi ili kupanda raha tofauti ...
Ila cha ajabu kila nikipanga kupeana utamu na hawa wengine mbali na yule mfuga mavuzi yani tunafika guest vizuri tuu nikiaza tu kugegeda tumbo linanza kuuma polepole na pale takapowashusha wazungu basi tumbo linaweza kuuma mpaka mpaka tunashindwa kuendelea ila tukitoka tu guest linaacha kabisa...
siku nyingine nikamchukuwa mwingine jana ndipo ilikuwa balaa tumbo limeuma hadi nikala chini tukaamuwa kuairisha ....

Ila kwa huyu mchumba wangu hata siku moja tumbo lijawahi kuniuma sasa najiuliza hiv tatizo nini? nawaza sijapata majibu kwanini niktaka kugegeda mbali na yeye tumbo linaniuma sana hadi niliyenaye ananionea huruma? Sijapata majibu naombeni msaada hiv tatizo ni nini?
Hivi kabla ya kuja kuomba ushauri ulifikiri nini tatizo?
 
Hakuna jinsi hapo mzee. Pole sana. Ndo faida ya kutongoza wanawake washirikina.

Kuna dada mmoja naye alifanyiwa ufundi kama wewe na jamaa ambaye ameoa na ana familia ila huyu dada ni mchepuko wake tu japo pia wamepata naye watoto wawili.

Tatizo ni kwamba huyu dada kapigwa lock, akimpata boyfriend wakienda guest anaanza kupata hedhi na damu inatoka nyingi ila wakitoka guest tu ngoma inakata. Amejaribu mara kadhaa maana yule jamaa anamzingua kishenzi sema sasa hawezi kuruka inabidi akae baki naye tu.

Mafundi wapo

aiseeeeee noma sana
 
wewe ukikutana na kitu kipya unapagawa sana.

hapo nmeona tatizo sio uchafu wa huyo wewe ni kicheche kama uchafu ndo umekukera kwa nini utafute wengine wawili??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom