Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Mkuu Jogi,Kwa sasa hivi vitu vinaonekana kama utapeli fulani lakini mtoto ataakezaliwa leo akakua kufikisha umri wa miaka 18.Hatoshangaa kwasababu itakua ni sehemu ya maisha.wakati huo wewe utakua tayari mzee mwenye mambo ya kizamani.Ndio ukweli wenyewe!
We nawe kaa soja wa zimbabwe! Kumzongazonga mzee wa watu ndio nini sasa!We are chasing pips you know!!!!
We download blue's[emoji170] [emoji170] [emoji170] [emoji170]
Mkuu sio vitu vya kucheka hivi. SIKITIKA.Jamaa anadhani kuna Pair yenye Tshss.......Kanichekesha kishenzi yaani! 😀😀😀😀😀
unamaana gani..Kuna kitu kinaitwa FOMO (fear of missing out) wakimaliza training tu, ontario anawabadilishia game to cryptocurency.. h ahahah. Kila mtu anahamia huko..
Wajukuu zetu siku wakipitia comments zetu kwenye huu uzi watasikitika sana. Kwamba mabavu zetu walikuwa wajinga kiasi hiki. Kitu cha kujifunza kabla hujabisha kitu jaribu kuwa na ushahidi nacho. Kuna comment nimeona jamaa anauliza waliotrade na Tsh ilikuaje. Nimesikitika sana.