Mrejesho: Duniani kuna mengi sikutegemea hili kunipata.

Mrejesho: Duniani kuna mengi sikutegemea hili kunipata.

Peter89

New Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
2
Reaction score
13
Wana JF,

Tarehe 20/10/17 niliandika mada hii: Duniani kuna mengi sikutegemea hili kunipata

Sasa leo hii hapa ninaleta mrejesho wa mada hiyo, kama ifuatavyo

Samahanin sana sikuweza kujibu kwa mda wote huo, ukweli kabisa mambo hayakuwa mazuri nilipata sana matangazo ya biashara za tiba asilia juu ya tatizo langu ,samahani kwa wale waliokuwa na nia njema ya kunisaidia lakini mawasiliano yakasumbua hilo tatizo nimeshaliondoa.

kwa ujumla bado naishi na tatizo langu ni kama nimeshalizoea hivi japo ningependa kupata msaada wa kuondokana nalo.

1-jpg.684163
2-jpg.684165
 
Hii posti niliiona cku nyingi sana kila kitu ata nukta hivyohivyo ila Leo nimeshangaa kuiona ikiwa imebadilishwa miaka.
 
Hahaha ni ngumu kuamini ingawa inaweza kuwa kweli. Imekaa kama zile email za ki nigeria ila kwa kiswahili.
Unahitaji msaada lakini huna simu wala hupatikani,hizi huwa dalili za utapeli. Kwamaana nyingine hutaki kujulikana wala kupatikana.
Nashauri nenda ocean road hutoachwa kwa kigezo cha pesa, wao wana social workers watafikisha ujumbe wako ustawi wa jamii, na utasaidiwa.
 
edit mkuu sema ni mrejesho maana hii post ulishaitoa hii ni feedback yake ila pole sana
 
Back
Top Bottom