katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,163
Mkuu huwezi chukua hii kitu ukaweka hapo kwenye goli lako
Mkuu huwezi chukua hii kitu ukaweka hapo kwenye goli lako
😆😆😆sawa chifuhapana Mkuu haviendani.
Samahani sikuwa hewani muda mrefu. Nimekujibu pmSasa mkuu ni me ku pm, nime QUOTE, ili unipe tu mawasiliano na jamaa, imekuwa ngumu, utadhania naomba URAI WA USA!!!?? hiyo ni kampuni ambayo ina hitaji wateja ili izidi kukua, kutoa mawasiliano tu ni tabu, je ningekuwa naomba wazo lako la biashara ingekuwaje?!!
NdioDuh kwa hiyo kama unataka wakuachie vifaa ni wanakulipa nusu hadi waondoke na wanaondoka lini ndo haijulikani?
Mkuu.Hongera mkuu, lakini naona ni mapema sana kuleta mrejesho
Hapo kwenye jamaa wanapiga sana hela, kuna kinyume chake watu wa aliwa sana hela
Mkuu kuna kitu bado sijaelewa jinsi hiyo biashara inavyofanyika.Hadi waondoke haijulikani wanaondoka ln
Ni zake wewe unalipwa 15%Mkuu kuna kitu bado sijaelewa jinsi hiyo biashara inavyofanyika.
Yaani kwa mfano ndio umeanza kuchezesha huo mchezo ukapata wateja wakaingiza hela humo kwenye hiyo mashine(ukiwapuna hela) hizo pesa baadae ukizitoa zote zinakuwa za kwako wewe au zinakuwa za kwao hao jamaa walioleta mashine au mnagawana?na kama mnagawana za kwako ni asilimia ngapi?
Hiyo ni safi kama sehemu ina vijana wengi wanaopenda huo mchezo.Ni zake wewe unalipwa 15%
Nimeshafanikiwa kuwapata wengine wameshaniletea. AsanteSamahani sikuwa hewani muda mrefu. Nimekujibu pm
Sio lazima iwe maeneo hayo ya bar, hata kwenye frem, tu, ila lazima pawe na msimamizi wa kutoa chenchi kwa wanaocheza, kwani jamaa wanakuachia coins za 200,kama za elfu 60,ili zisaidie kwenye utoaji chenchi, kwani bila kuwa na chenchi, biashara inakuwa ngumu.kama ni hivyo kumbe ni bonge la biashara.
Kwa hiyo mtaji wako ni kupata fremu tu,na je kuna ulazima kwenye hiyo fremu kuwe na bar au glocery au sio lazima?Na ukishaanza hiyo biashara kuna ulazima wa kuisimamia masaa yote au inajiendesha yenyewe tu halafu jioni unakuja kufungua na kuchukua pesa tu?
Sio lazima iwe maeneo hayo ya bar, hata kwenye frem, tu, ila lazima pawe na msimamizi wa kutoa chenchi kwa wanaocheza, kwani jamaa wanakuachia coins za 200,kama za elfu 60,ili zisaidie kwenye utoaji chenchi, kwani bila kuwa na chenchi, biashara inakuwa ngumu.
Ila sheria inataka liwe baa ila tunafojiSio lazima iwe maeneo hayo ya bar, hata kwenye frem, tu, ila lazima pawe na msimamizi wa kutoa chenchi kwa wanaocheza, kwani jamaa wanakuachia coins za 200,kama za elfu 60,ili zisaidie kwenye utoaji chenchi, kwani bila kuwa na chenchi, biashara inakuwa ngumu.
Sheria inataka liwe baa ila tunafoji.Kama ni hivyo kumbe ni bonge la biashara. Kwa hiyo mtaji wako ni kupata fremu tu,na je kuna ulazima kwenye hiyo fremu kuwe na bar au glocery au sio lazima?
Na ukishaanza hiyo biashara kuna ulazima wa kuisimamia masaa yote au inajiendesha yenyewe tu halafu jioni unakuja kufungua na kuchukua pesa tu?
Hii biashara ni nzuri ukiwa nalo ukawa ww ndo mmiliki aisee hii kitu ni zaidi ya chuma uleteSheria inataka liwe baa ila tunafoji.
Ni lazima awepo msimamizi muda wote. Maana coin zinatembea sana
Hupewi wewe funguo ya hapo ni lazima wakala awe anakuja kwa ratiba yenu.
Mtaji andaa kulingana na mahitaji. Tyr 2 ni 120. Mtu mmoja anaweza kula hadi 100. Pia akachukua kete za 60 Kama mtaji wako ni try 1 utakwama
Aisee na mimi nahitaji, Napataje mkuu?Nimeshafanikiwa kuwapata wengine wameshaniletea. Asante
Aisee na mimi nahitaji hii. Napataje?Ila sheria inataka liwe baa ila tunafoji