Mrejesho:BAADA YA USHAURI WENU

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Hivi karibuni niliweka jambo linalonisibu lenye heading uchumba 3years ila........ Nawashukuru wote mlionishauri and nimefanya maamuzi ya kumwambia ukweli na nilitumia hekima kidogo katika hlo ila alinielewa the way nilivomweleza,nawashukuru wote kwa ushauri,nimejifunza unaweza ukafanya jambo fulani kwa wakati fulani likakugharimu but all in all thank u for ur advice,now im a new man,future oriented man and i know its my fault for the relationship breakup but tumekubaliana and kila mmoja yupo peace............. Tumekubaliana kuachana so i thank u and We are peace na atabki kuwa rafiki yangu.
 
serio hayo mambo hayatakuepo its strictly prohibited.
 
Last edited by a moderator:
hongera ndo unatafuta kule love connect au si wewe?
 
Sasa jembe sasa hivi unaishije kwenye habari ya conjugal au ndio self juicing?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…