Mrejesho baada ya TBC kufunga mitambo mipya...

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,732
Reaction score
2,714
Habari wadau humu ndani juzi kati katika pita pita zangu humu niliona uzi ukisema tbc kufungwa mitambo mipya vipi mwenye mrejesho wowote ule kuna kilichobadilika?....Tbc ukweli na uhakika

Nawasilisha
 
Wamezoea kurusha live uzinduzi! Wanatafuta timing ya kutusha uzinduzi wao!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu wagomvi humu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…