Mrejesho baada ya selection TCU

Mrejesho baada ya selection TCU

Jamani nina CEES form six yaani div.3 ya 13 je naweza apply upya chuo au.maana nilisha maliza lakini nataka kusoma degree mpya
Sifa ya kusoma chuo unayo yaani at least four points from two principle subjects.
Chamsingi unapoomba uwe makini kusoma vigezo maalumu kwa kozi unayotaka kuomba. Kuna wanaotaka at least a D for two subjects, hizo usiombe maana wewe japo una pointi 4 kwenye masomo mawili lakini somo moja hujafikisha D!
Hivyo busara katika kujaza uchaguzi wako ndio utakaoamua kama utapata au la!
 
sio D mbil ni cuts off point4. ..so vigezo anavyo mkuu sababu kafikisha point
asante kkumbukeni ni matokeo ya zamani na sio haya mapya. ngoja nifanye mchakamchaka kujaza huu muda uliobaki
 
Sifa ya kusoma chuo unayo yaani at least four points from two principle subjects.
Chamsingi unapoomba uwe makini kusoma vigezo maalumu kwa kozi unayotaka kuomba. Kuna wanaotaka at least a D for two subjects, hizo usiombe maana wewe japo una pointi 4 kwenye masomo mawili lakini somo moja hujafikisha D!
Hivyo busara katika kujaza uchaguzi wako ndio utakaoamua kama utapata au la!
Asante saana nataka kusoma Procurement in logistic
 
kuna siku nilikuja humu na kuwaeleza watu kuwa hata bachelor of art with education wanaangalia mathatics o level kama ulifaulu watu wakanibishia leo hii kuna rafki yangu kakosa nafasi ya koz hyo kwa kuwa hesabu o level alifeli na alikuwa na c,c,d advance
huu mwaka mgumu kwa kweli jaribu kuchunguza watu waliokosa nafasi kwa koz hyo o level mathematics walifeli
 
Sasa hapo haki iko wap kama wametoa tcu mrejesho wakat diploma to degree had sasa kimya hakuna maelezo yeyote
 
asante kkumbukeni ni matokeo ya zamani na sio haya mapya. ngoja nifanye mchakamchaka kujaza huu muda uliobaki
bro kasome guide book vizuri at least 2D ata system itakukataa not passed
 
Kuna uwezekano wa kupata second hapo division two 12 DCE
1474206299198.jpg
 
Ndugu zangu bado sijailewa taarifa iliyotolewa
Mwanzoni kasema waliokosa ni 16 elf na ushee ambao Wana sifa Baadae kasema ambao wamekosa vyuo na ambao Wana sifa ni 24 elf na ushee
Je Kuna majina ambao vyuo wamewakataa au?
Nielewesheni ndugu
Waliokosa sifa za kujiunga na vyuo vikuu ni 8144 tu. Hawa hata hii awamu ya pili hawatakiwi kuomba tena. Wasubiri tu mwakani wakasome diploma
 
Kuna vyuo like RUCU Iringa kina nafasi watu waaply hata vya private kuliko kukosa kabisa
 
Back
Top Bottom