Habari Wana JF siku tatu nyuma nilileta thread ya kulala na muathirika.
Watu wengi walinishauri nikapime na wengine walinishauri nianze kuchimba kaburi,
Kwa siku ya Juzi nilifanya dhiara kwenye mochwar Moja na kupata mafunzo ya vitendo jinsi yakumuosha maiti na kumvalisha sanda lengo nikuongeza ujuzi wakidunia.
Jana pia nilibahatika kupita CTC sehemu wanapohudumia watu wenye VVU nilikata karibu masaa Tisa ilikuona wanaokuja nirika lipo ila niliishia kuona wazee na mishangazi iliyozeeka ikihudhuria, na baada ya upelelezi nikiambiwa kua wengi wa vijana wanapelekewa dawa majumbani sababu hawataki waonekane .
Kwasiku ya Leo palipokucha nilipata wasaa wakwenda kuwatembelea wauza majeneza nakuona biashara inaendaje kiukweli kwa mjini niliopo biashara ningumu kidogo na pia watu wauku wanakipato Cha chini hivyo majeneza sio yalemazuri sana.
Ilipofika majira ya jioni nilienda kuchukua kipimo nakurudi ndani kuanza process za uchunguzi wa afya yangu
Majibu yalisoma mstari mmoja wa common tu hii nibaada ya dakika 15-20 lakini hata ilipofika dakika 30 majibu yalibaki vile vile.
Nijambo jema naninaomba liendelee kua jema hivyo weekend hii nimepanga kwenda kijijini kutafuta Binti nitakae mposaa nakumuoaa hakika nitampenda sana na mshahara wangu ninaolipwa na muhindi utakua unapitia kwenye account yake
Asante kwa ushauri nakama kunalaziada kuamuwazi 🙏🙏