William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Wakuu haya kijana mwingine amejitokeza kum-challenge Mramba, mnasemaje?Notburga Maskini to challenge Basil Mramba in next elections
Notburga announces her candidacy for Rombo Constituency in Dodoma, recently.One of the participants of last year's Mwalimu Nyerere Charity Climb, Notburga Maskini, has announced her intention to contest the parliamentary seat for Rombo Constituency in Tanzania's general elections in October...
Mramba hana chake tena kwa jinsi sasa hivi walivyoweka utaratibu wa kuchaguliwa toka grass root! atawaonga wangapi? huyu mtu kwanza ana kesi ya kujibu! he is a dead man walking!- Wakuu haya kijana mwingine amejitokeza kum-challenge Mramba, mnasemaje?
Respect.
FMEs!
humo humo CCM ni kumchomoa Mramba ndani ya CCMKatika wapinzani wa Mramba waliojitokeza mpaka sasa..huyu ana nafasi nzuri. Atasimama kwa tiketi ya CCM, Chadema au "Binafsi"..??
Mramba hana chake tena kwa jinsi sasa hivi walivyoweka utaratibu wa kuchaguliwa toka grass root! atawaonga wangapi? huyu mtu kwanza ana kesi ya kujibu! he is a dead man working!
Mkuu hiyo kesi inaelekea kwisha kabla ya October.
Jimboni Rombo ile Barabara ya Lami (Moshi Mjini > Marangu > Rombo > Tarakea) ndio inaelekea kukamilika...wapiga kura wetu wana desturi ya kuunganisha mafanikio kama haya na Mbunge wao moja kwa moja. So, Mramba jimboni kwake; kisiasa he is very much alive and kicking..!!
Huyu mama ni Vice President wa TUCTA sasa na pia alikuwa Mkurugenzi LAPF sasa yuko Wizarani serikali za mitaa baada ya kufanyiwa mizengwe na wala rushwa wa LAPF. Kabla ya hapo ashawahi kufanya kazi kama Mkurugenzi wa mji Sumbawanga (alisababisha madiwani wote wakose kura baada ya kuanzisha ugomvi baada ya kumlazimisha kuwapa allowance zilizo nje ya uwezo wa halmashauri Sumbawanga Mjini wanamjua huyu mama na wanamzimikia mpaka leo) kama mnakumbuka kuna wakati habari yake ilitokea gazeti za Uhuru zikisema akataliwa ila baadae gazeti likaomba msamaha), Mkurugenzi halmashauri ya Mpwapwa na ukiulizia rekodi zake ni kuwa alikuta accounts hazina hela akaacha hizo account full mapesa! Elimu yake ana MBA in Human Resources and Administration. Hii ni kwa kifupi
Ni mtoto wa Alphonse Maskini mbunge wa zamani wa Rombo.
- ..... Mramba kweli hafai huko jimboni? Na kati ya hawa vijana wanaotaka kusimama naye nani anatufaa JF ili tumpe tafu?
...
FMEs!
Mramba ni mla rushwa alipokuwa Waziri wa Fedha, alichojua kufanya ni kutoa misamaha ya kodi kwa marafiki zake kama Michael Ngaleku Shirima (ambazo zime-cost hii nchi dearly)! hayo maendeleo mnayosema ameleta nawashangaa nyie watu technically ile barabara imeletwa kutokana na suluhisho na makubaliano ya Chadema na CCM chini ya Mkapa in exchange of a recall for new election in that constituent baada ya kuwa proven in the Moshi court aliiba kura in 2000 election and the results were to be nullified! msijidanganye Rombo kuna vigogo ambao wakisema unapita unapita na so far Mramba is not their choice so better cancel him out they can't put their constituent stakes at risk kumuweka fisadi to represent their interests in the Parliament!Very good question indeed. Na swali hili haliishii hapa, linaendelea hadi kule Mtera kwa Malecela.
D Y N A S T Y !
Alphonse Maskini alileta MAENDELEO yapi Jimbo la Rombo?
Like Father Like Daughter!
safi sana, Nimejaribu kudodosa, na nikapata hii habari! shule nyingi za wazazi za Rombo kipindi kile the likes of Kili boys, Namfua na nyinginezo na ushirika ulioleta maendeleo Rombo kipindi hiko yeye ndo alizisimamia na kuzianzisha kama Mbunge akishirikiana na wanavijiji kipindi kile ikumbukwe that was 1960s! so watu waache kelele zao halafu kizuri zaidi hakuwa fisadi! watu wasishangilie maendeleo ya kifisadi uliza yeye Mramba amevimbisha mfuko wake kivipi kwa hayo maendeleo mnayosema ameleta?Nani kakwambia kama baba alishindwa basi na yeye hafai ?? Acha chuki za namna hiyo. Kama anafaa au hafai kura zitaamua.
Huyu mama ni Vice President wa TUCTA sasa na pia alikuwa Mkurugenzi LAPF sasa yuko Wizarani serikali za mitaa baada ya kufanyiwa mizengwe na wala rushwa wa LAPF. Kabla ya hapo ashawahi kufanya kazi kama Mkurugenzi wa mji Sumbawanga (alisababisha madiwani wote wakose kura baada ya kuanzisha ugomvi baada ya kumlazimisha kuwapa allowance zilizo nje ya uwezo wa halmashauri Sumbawanga Mjini wanamjua huyu mama na wanamzimikia mpaka leo) kama mnakumbuka kuna wakati habari yake ilitokea gazeti za Uhuru zikisema akataliwa ila baadae gazeti likaomba msamaha), Mkurugenzi halmashauri ya Mpwapwa na ukiulizia rekodi zake ni kuwa alikuta accounts hazina hela akaacha hizo account full mapesa! Elimu yake ana MBA in Human Resources and Administration. Hii ni kwa kifupi
Mramba ni mla rushwa alipokuwa Waziri wa Fedha, alichojua kufanya ni kutoa misamaha ya kodi kwa marafiki zake kama Michael Ngaleku Shirima (ambazo zime-cost hii nchi dearly)! hayo maendeleo mnayosema ameleta nawashangaa nyie watu technically ile barabara imeletwa kutokana na suluhisho na makubaliano ya Chadema na CCM chini ya Mkapa in exchange of a recall for new election in that constituent baada ya kuwa proven in the Moshi court aliiba kura in 2000 election and the results were to be nullified! msijidanganye Rombo kuna vigogo ambao wakisema unapita unapita na so far Mramba is not their choice so better cancel him out they can't put their constituent stakes at risk kumuweka fisadi to represent their interests in the Parliament!
Very good question indeed. Na swali hili haliishii hapa, linaendelea hadi kule Mtera kwa Malecela.