Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,552
- 106,957
Inasemekana yule Mbunge machachari wa Rombo mwenye kesi mahakamini ya Ufisadi kipindi cha uongozi wake katika wizara nyeti ya Fedha amekuwa akigawa Tshs 5000 kwa kila mwanakijiji huko kijijini kwake ilihali Takururu wakishuhudia vituko hivi! wanakijiji wanasema kigogo huyu huwaita mmoja baada ya mwingine na hukaa katika baraza ya juu (kwa kiingereza balcony) huko ghorofani kwake hapo kijijini kwake Shimbi na kudondosha Tsh 5000 taslim!