- Thread starter
- #21
Mambo mazuri hayataki harakautaanza lini maana wanasaini tu.

kama mke wa nani?kwenye hii nyuzi wake za watu imo kweli?Huyo mwambe kazi kutembea na wake za watu siku si nyingi yatamkuta mazito.
Acha roho ya kwanini mkuu.Matapeli tu hao
Swissme
Makampuni makubwa ya kigeni kuwekeza Kilwa Masoko
Makampuni ya Ferrostaal kutoka Ujerumani na Haldor Topsoe kutoka Denmark zimepata usajili kwa ajili ya kuzalisha mbolea aina ya Yurea Kilwa mkoani Lindi.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Geoffrey Mwambe, thamani ya uwekezaji huu ni Dola za Marekani bilioni 1.9 sawa na shilingi trilioni tatu.
Alisema kuwa uwekezaji huu mkubwa ni ishara kwamba Tanzania ni mahali sahihi kwa uwekezaji lakini pia kuna mfumo mzuri wa uwekezaji. Uwekezaji huu umeelezwa kuwa utaajiri Watanzaia 4,500.
Mradi huo utakuwa ukizalisha tani milioni 1.3 kwa mwaka. Mwambe amewataka wananchi wa Kilwa kutoa ushirikiano kwa wawekazaji hao. TIC wamesema kuwamradi huo utasajiliwa hapa nchini kwa jina la Tanzania Mbolea Petrochemicals (TAMCO).
Wale wanaosema wawekezaji wanakimbia Tanzania wapo wapi?
Duh kweli Chuki ikizaa watoto huwaita Husda, Kinyongo au Roho Kwanini.Hamna mwekezaji wa TZS 3T katika utawala huu rafiki. Sahau hiyo. Ona watu wa gesi, wanaoweza kufanya biashara hata katika nchi zenye vita jinsi walivyotoka nduki.
Sasa si uende kazini, mitaani kuna pesa? Au wewe ni mtoto wa mtaani?awamu hii nikutaja tuu Mara tumeokoa bil kadhaa Mara mradi Wa trilion kadhaa. hayoo ma trilion mbona hatuoni impact yake mtaani???????
Chadema huyoMatapeli tu hao
Swissme
Makampuni makubwa ya kigeni kuwekeza Kilwa Masoko
Makampuni ya Ferrostaal kutoka Ujerumani na Haldor Topsoe kutoka Denmark zimepata usajili kwa ajili ya kuzalisha mbolea aina ya Yurea Kilwa mkoani Lindi.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Geoffrey Mwambe, thamani ya uwekezaji huu ni Dola za Marekani bilioni 1.9 sawa na shilingi trilioni tatu.
Alisema kuwa uwekezaji huu mkubwa ni ishara kwamba Tanzania ni mahali sahihi kwa uwekezaji lakini pia kuna mfumo mzuri wa uwekezaji. Uwekezaji huu umeelezwa kuwa utaajiri Watanzaia 4,500.
Mradi huo utakuwa ukizalisha tani milioni 1.3 kwa mwaka. Mwambe amewataka wananchi wa Kilwa kutoa ushirikiano kwa wawekazaji hao. TIC wamesema kuwamradi huo utasajiliwa hapa nchini kwa jina la Tanzania Mbolea Petrochemicals (TAMCO).
Wale wanaosema wawekezaji wanakimbia Tanzania wapo wapi?
Mkuu pale umeteleza,wana Chadema wanataka maendeleo ndio urefu wa jina lao.habari mbaya sana hizi kwa wafuasi wa chadema
Makampuni makubwa ya kigeni kuwekeza Kilwa Masoko
Makampuni ya Ferrostaal kutoka Ujerumani na Haldor Topsoe kutoka Denmark zimepata usajili kwa ajili ya kuzalisha mbolea aina ya Yurea Kilwa mkoani Lindi.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Geoffrey Mwambe, thamani ya uwekezaji huu ni Dola za Marekani bilioni 1.9 sawa na shilingi trilioni tatu.
Alisema kuwa uwekezaji huu mkubwa ni ishara kwamba Tanzania ni mahali sahihi kwa uwekezaji lakini pia kuna mfumo mzuri wa uwekezaji. Uwekezaji huu umeelezwa kuwa utaajiri Watanzaia 4,500.
Mradi huo utakuwa ukizalisha tani milioni 1.3 kwa mwaka. Mwambe amewataka wananchi wa Kilwa kutoa ushirikiano kwa wawekazaji hao. TIC wamesema kuwamradi huo utasajiliwa hapa nchini kwa jina la Tanzania Mbolea Petrochemicals (TAMCO).
Wale wanaosema wawekezaji wanakimbia Tanzania wapo wapi?
Sasa si uende kazini, mitaani kuna pesa? Au wewe ni mtoto wa mtaani?