Kaa chini vizuri ili utengeneze hitaji lako vizuri.
Kama nimekuelewa ni kwamba unataka kuanzisha shule, shule hiyo iwe Dsm, tatizo ni eneo la kujenga shule hiyo. Na baadae uweze kuisajili, kwa hiyo usaidiwe hatua za kupita ili ufanikiwe usajili.
the way i understood. nikama vile anataka ajengewe shule then akabidhiwe kwa kupewa bure na akatoa conditions lazima ijengwe Dar. duh. Hii thread tuite tungo tata?
the way i understood. nikama vile anataka ajengewe shule then akabidhiwe kwa kupewa bure na akatoa conditions lazima ijengwe Dar. duh. Hii thread tuite tungo tata?
Lazima kiwanja kiwe maeneo ya makazi ya watu
Matundu ya choo yasipungue 12 wasichana 6 na wavulana 6
Madarasa uenye viwango vya nekta
Walimu waliosajiliwa
Vifaa vyote muhimu vya shule
Akaunti ya shule isiyopungua kiasi cha shilingi 64m
Ofisi za walimu