Ingekuwa busara zaidi kama SGR ingejengwa kwa muendelezo kutoka Dar/ Mor / Dom/ Tabora, kuliko kuruka kipande Cha Dodoma/ Tabora.
Hali ilivyo sasa hata kipande Cha Mwanza/ Isaka kikikamilika hakitaweza kutumika kabla kipande cha Dar /Tabora hakijakamilika.