..kuna taarifa zinachanganya kuhusu mradi wa reli utakaounganisha Tz na nchi majirani.
..kuna taarifa za Samuel Sitta akitangaza kwamba kampuni ya Kichina imepewa tender ya ujenzi wa mradi huo.
..pia kulikuwepo na taarifa kwamba Raisi Kikwete angeweka jiwe la msingi la ujenzi wa reli hiyo eneo la Mpigi kabla hajaondoka madarakani.
..Raisi Dr.Magufuli katika hotuba yake alizungumzia mradi wa ujenzi wa reli utakaounganisha Tanzania, Rwanda, na Burundi.
..halafu kuna taarifa za kwenye mtandao kwamba Rwanda ndiyo imepewa jukumu la kushughulikia tender za mradi huo kwa niaba ya Tanzania na Burundi.
..tena kuna taarifa za Raisi Magufuli kumsimamisha kazi ceo wa Rahco kutokana na kukiuka taratibu za ktk utoaji zabuni ya ujenzi wa reli ya standard gauge.
..mwisho, kuna taarifa zinazomnukuu Samuel Sitta akilaumu kwamba Raisi Dr.Magufuli ameshauriwa vibaya mpaka kufikia kumsimamisha kazi ceo wa Rahco.
..swali ninalojiuliza ni je, mradi ambao tender yake inashughulikiwa na Rwanda, uliopewa jina la "dikkm" yaani Dar-Isaka-Keza-Kigali-Musongati, ni tofauti na mradi uliopelekea ceo wa Rahco kusimamishwa kazi?
..NINI KINAENDELEA KTK MRADI HUU?
..taarifa za mtandao huu wa maswala ya reli ni muhimu:
Taarifa ya kwanza:
Tanzanian standard gauge contracts announced
Taarifa ya pili:
Rwanda announces DIKKM railway shortlist
Taarifa ya tatu:
Magufuli to launch Sh15tr standard gauge rail project
cc @Kimbunga, @Ngongo, @MOTOCHINI, @Nguruvi3 , @NasDaz, @Kimweri, @Geza Ulole, @mchambawima1, @murutongore