Mradi wa Nyumba za TBA Bunju B tunahitaji miundombinu

kapuchi

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
268
163
Kuna nyumba nyingi sana zimejengwa na Tanzania Building Agency kwenye moja ya miradi yao ya ujenzi wa nyumba nafuu kule Bunju B

Nyumba zile zimeshaanza kuuzwa kwa bei kuanzi Milioni 30-70..watu wengi wameshaanza kuzichangamkia kununua ,lakini tatizo ni miundo mbinu na barabara ya kufika kule,infact ni karibu na mabwepande

Tunamwomba Waziri wa Ujenzi ambaye ndiye mwenye dhamana ya mradi huu,asikie very loudly kilio chetu,tunahitaji Hospitali,maduka ya kununua mahitaji ya kila siku,soko kwa sababu population ya kule ni kubwa

wadau na wakazi wa makao mapya
 
Waweke Lami na kuipanua ile Bara bara ya kutoka Bunju B mpaka Mbezi Mwisho via Mabwepande.

Waweke Huduma za Jamii Mji Mpya,Waimalize hospital ya mji mpya na kuweka makaravati kama alivyohaidi Mh Meya Boniface.
 
Back
Top Bottom