Mradi wa kutengeneza mvua.

Mradi wa kutengeneza mvua.

Undetectable

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,699
Reaction score
2,266
Habari wadau.
Ningependa kufahamu, hivi ule mradi wa kutengeneza mvua (artificial rain) uliishia wapi?
Nakumbuka mradi huu ulitakiwa ufanywe na wataalamu kutoka nchini Indonesia ili kupunguza tatizo la upungufu wa maji ya kuzalisha umeme.
 
Back
Top Bottom