Mradi wa kulima MATIKITI

Mradi wa kulima MATIKITI

Njoo tulime MBAAZI, Gunia moja 60000 Tshs sokoni.
hilo ni gunia au debe, mwaka jana kijiji watu walikuwa wanunua gunia moja shambani laki tatu na ukipeleka sokoni laki tatu na nusu mpaka 360000.
 
achana na hicho kilimo kwanza, kila mtu analima, imefikia saturation point,tafuta zao lingine ulime

Aliyekudanganya ni nani? Kila kitu ni mipango ndg yangu.
Mbegu inayowekwa chini sasa ikitoka itatoa watu sana...., we kaa tu kwenye keyboard yako ukiendelea kujidanganya!
 
Aliyekudanganya ni nani? Kila kitu ni mipango ndg yangu.
Mbegu inayowekwa chini sasa ikitoka itatoa watu sana...., we kaa tu kwenye keyboard yako ukiendelea kujidanganya!
sawa, sijamlazimisha mtu..choices
 
Njoo tulime MBAAZI, Gunia moja 60,000 Tshs sokoni.
Tshs 60,000/100Kg
= Tshs 600/1kg
Duh, aisee.
We umekipendea nini hiki kilimo??
Why not Maharagwe, Choroko au hata Kunde ambazo Kwa 1kg unapata zaidi ya Tshs 1,000/=??
Productivity (Kgs/1heka) ikoje labda kwa hiki kilimo cha Mbaazi??
 
Vyema, hivyo uzitoe habari zisizo na uhakika! Saturation ktk market huwa inatokea kwa msimu tu haswa wakati wa bumper harvest!
sawa dada, umelima nini? sina lengo la kukukatisha tamaa! fanya research
 
sawa dada, umelima nini? sina lengo la kukukatisha tamaa! fanya research
Ndio nakuelewesha kulingana na uzoefu wa kusoma majira na misimu!
Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini kuna wakati/msimu baadhi ya mazao huwa yanakosa bei (bei ndogo) sokoni?!
 
Aliyekudanganya ni nani? Kila kitu ni mipango ndg yangu.
Mbegu inayowekwa chini sasa ikitoka itatoa watu sana...., we kaa tu kwenye keyboard yako ukiendelea kujidanganya!
Mie naweza nkasema Hoja ya jamaa kuachana na kilimo hiko cha matikiti sio Mbaya.. Anaweza kuitumia Fursa ya kilimo hiko kujifunza na Kuelimisha watu kwa Ujira Mdogo tu au ku Organize Kundi la watu na kupata ujuzi juu ya Biashara ya kilimo na kuwa Watu wa kati..
Hapa namaanisha kuwa watu ambao watasambaza mazao toka kwa mkulima kwenda kwa Mnunuzi wa Jumla na pia Kuwa msambazaji wa Pembejeo za kilimo kwa wakulima wa vijijin pasipo wao kupata tabu ya kuzunguka na mazao yao kuharibika.. Unaweza kupiga hela kwa njia hii pasipo hata kulima hata tikiti moja..
 
Kwa sasa ni vema kama hujaanza kulima tikiti ukatafuta possible market kwanza..
Kina changamoto zake ila ukipambana kdg tu unazishinda, shuhuli ipo kwenye soko..
Mimi nilishawai kuushusha mzgo wote kwenye fuso shambani..
Nimeshapakia vizuri akaanza kubargain tena..
All the best kamanda japo sasa wanalima wengi
 
Ndio nakuelewesha kulingana na uzoefu wa kusoma majira na misimu!
Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini kuna wakati/msimu baadhi ya mazao huwa yanakosa bei (bei ndogo) sokoni?!
sawasawa, lakini ukichunguza sana unaweza kugundua kwamba matikiti yamekuwa kama main product kwenye horticultural products,ukiacha nyanya na vitunguu...halafu tikiti siyo inevitable sana kwenye shopping ya mama wa nyumbani
 
Kila kitu ni mahesabu chief1!
Kama sasa nyanya na vitunguu vimejaa sokoni coz wengi walilima msimu wa masika..., sasa tunaelekea kwenye kiangazi wanaolima sio wengi coz ya changamoto nyinygi...., hivyo kama una uzoefu huu ndio muda wa ku-make!!
 
nakuelewa sana ndg! maswala ya misimu nayatambua vizuri sana
kwenye swala la matikiti labda mtu angelima kipindi cha masika maana mengi huwa yanaoza, tatizo lingine kipindi cha baridi hayatoki kivile
 
nakuelewa sana ndg! maswala ya misimu nayatambua vizuri sana
kwenye swala la matikiti labda mtu angelima kipindi cha masika maana mengi huwa yanaoza, tatizo lingine kipindi cha baridi hayatoki kivile
Pamojah chief1.
 
ANAEJUWA IDADI YA MATIKITI YANAYOWEZA KUZALISHWA KWENYE EKARI MOJA ANIJUZE, NA BEI YA JUMLA INAKUWAJE?

Do ur home work well Brother! Kuna Kuna jamaa yangu alipambana sana na mitikiti mpaka wakati yametoa maua tuliyatembelea naye. Yalikuwa mazuri kwa mujibu wake! Juzi nikamuuliza Vipi Yale mambo? Akanambia tu walimvurugia kipindi ametingwa job aka ingia hasara - ushauri tu alionipa Ni kwamba yanaitaji usimamizi kila hatua,
 
Back
Top Bottom