Mradi wa kulima MATIKITI

Mradi wa kulima MATIKITI

mushi

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
10
Reaction score
3
ANAEJUWA IDADI YA MATIKITI YANAYOWEZA KUZALISHWA KWENYE EKARI MOJA ANIJUZE, NA BEI YA JUMLA INAKUWAJE?
 
Idadi ya matikiti maji kwa heka 1 ni 2000 hadi 8000,,,,na pia uwekezaji kwa jumla ni kma 500000 hadi 800000.
 
Attachments

  • (8).jpg
    (8).jpg
    10.8 KB · Views: 125
Idadi ya matikiti maji kwa heka 1 ni 2000 hadi 8000,,,,na pia uwekezaji kwa jumla ni kma 500000 hadi 800000.
bila shaka kaelewa...ingawa haujamtajia na mazingira halisi ya sehemu ya kufanyia huo mradi ili iwe rahisi ku`analyse specific budget for whole season until the harvest mkuu!
 
nimekusoma kaka.... nimeshaanza kulima maeneo ya RUVU bagamoyo i hop to hit my target
 
Idadi ya matikiti maji kwa heka 1 ni 2000 hadi 8000,,,,na pia uwekezaji kwa jumla ni kma 500000 hadi 800000.
Hiyo gharama haiko realistic. Mbegu ya gramm 500 ya F1 Sugar ni laki 3.
Bado samadi ya kupandia bado mbolea ya NPK na CAN bado hujaweka madawa ya wadudu kama farm guard na Boosters.

Kwahiyo rejea tena utoe mahesabu sahii
1471159408780.jpg
 
hongera mkuu, lima tuu wala usikatishwe tamaa ya soko lilipo, soko lake bado ni kubwa sana, huyo anaekuambia soko hajafanya tafiti yoyote zaidi ya porojo za kijiweni
 
Kweli soko lipoo mkuu reja reja hadi jumla kk viwnda vyaa juice za matunda vinaongezeka kila cku
 
Back
Top Bottom