Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,020
- 41,426
Nashe is too theoretical than practise.....tangu azaliwe hajawahi kulima hata mchicha.
Hii bustani ilikuwa bongo?View attachment 3397020
Kuna kipindi nililimaga Sana mchicha naujua nje ndaniii
NB.huyo dogo kwenye picha R .I.P Siku izi mbili zilizo pita nimeambiwa alipata ajarii akafariki dunia.
Ila hii project ilinipaga Sana pesa tulikuaga tunauza kitalu mpaka 80elfu mpaka lakiii.
Na tulikuaga tuna pishanishaa na tunalima vitalu vingi SEMA ndio ivyo ni KILIMO Cha msimu maana PRICE FLUCTUATE ni kubwa Sana kwenye PERISHABLE FOODS
Ndio bongo mkuu ? Mbona umeniuliza ivyo.Hii bustani ilikuwa bongo?
Naona shamba linang'aa kama la Spain hoticultureNdio bongo mkuu ? Mbona umeniuliza ivyo.
Tulikua tunaandaa shamba then tunaweka mbolea ya mavi ya kuku mchicha ukikua kua tunaweka mbolea ya chumvi chumvii then ni mwendo wa maji asubuh na jioni kwa two weeks.
Nililima Sana pia ma cabbage Ila kabeji zilileta changamoto pia izi projects nilifanya Sana mkuu kwa kipindi Fulani.
Upo.Je huu mradi bado UPO na kama UPO umefikia wapi
BBT
😅😂Naona shamba linang'aa kama la Spain hoticulture
Watu wanaoongea sana na kupiga domo kulaumu wengine unachotakiwa ni kuwapa nafasi wageuze maneno yao kuwa uhalisia,ujionee.Nashe is too theoretical than practise.....tangu azaliwe hajawahi kulima hata mchicha.
Aisee,Hata Sijui!Walichukua vijana, wakawapeleka kambi wakapewa maeneo makubwa, mafunzo, wakalishwa Kila kitu nategemea kuona output kubwa ya ule mradi.
Kila mwaka walipotisha bajeti ya billion 800, waliziomba Kwa ajili ya ule mradi je zimepotelea wapi? Nataka kujua tu matokeo yake, maana tunakamuliwa Kodi mpaka mwisho lakini matokeo ya kukamuliwa Kodi hayapo siyaoni, au wananchi ndio tools ya kuwafanya wao waishi vizuri?
huyo ChoiceVariable akija kutolea ufafanuzi hili suala basi nipigwe life ban hapa jfWaulizwe Bashe na ChoiceVariable
DuhIlikuwa, deal, tu watu wapate sababu yakutoa pesa, hazina,
huyo ChoiceVariable akija kutolea ufafanuzi hili suala basi nipigwe life ban hapa jf
Akili zenu ni ndogo sana hata hamuelewi concept yakeJe huu mradi bado UPO na kama UPO umefikia wapi
BBT