Wewe chunguza ahadi za JK na uwezo wa uchumi wetu, ameshindwa kulipa wafanyakazi Tshs 315,000.00 kama TUCTA walivyotaka lakini kaahidi kujenga Overfly jijini D'Salaam, Machinga comlex tano n.k Miradi mingi ya serikali yetu inabaki kuwa ni maajabu ya Mussa na wana Israel.