Mr Zumo-usiku usiingie

Mr Zumo-usiku usiingie

Jamani muwe mnagoogle nyimbo mbona zipo! au lengo ni kujaza saver za jamii forums!
Km wimbo unakukonga, basi shirikisha maudhui yake watu wachangie
 
Mm ninao sema nashindwa ku attach hapa
 
Hivi huyu jamaa mr zumo amefariki kweli ? Je walikuwa na uhusiano na moringe sokoine ? Kwani naona wamefanana
 
Ana kipaji sana huyu jamaa, nimesikitika kuona mtu kaandika kuwa amefariki, ni kweli au watu mnazusha tu?
 
Kuna wimbo mwengine ila mwimbaj kwa jina simuelew mwenye nao tafazal Kuna versi unasema “Mangi alikuwepo rafael alikuwepo tulikunywa tulikunywa”ni kama vile anasimulia story
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom