Kwani superstar wamwgpa mchawi gani kwasasa...njoo nikubebishe bwana.Ewaaaaa
Mekuhamu mpaka nikataka kuja na ile ID ingine ili walau unibebishe!
Hivi superstar si unajua venye niko na wivu...Kwani superstar wamwgpa mchawi gani kwasasa...njoo nikubebishe bwana.
Ninamehamu kubebisha pia
Yaani wewe.
Dada wangu, naona umenichoka haki...Vumilieni tu kupangwa kaka wa mimi maana hamna namna.
Mdanganye mdogo wanguYaani wewe.
Superstar nisaidie kumkanya huyu mdada.
Hata vile uvijuavyo...huwezi amini.
Hakupi nini?
Dada mtu kayashindwa bora nirudi kwa mdogo mtu.
Sasa kama nyie kaka zangu mmejichoka mimi nifanyeje?Dada wangu, naona umenichoka haki...
Nitamuua atakaye nibebisha...wewe njoo tubebishane superstar.Hivi superstar si unajua venye niko na wivu...
Nikikuta unabebishwa nitakufwa mie!
Nitamuua atakaye nibebisha...wewe njoo tubebishane superstar.
Fanya haraka basi.
Naona unafurahi kweli...vipi utamcover?
Dada, asante kwa taarifa ya msingi kabisa. Kweli nimeamini unaipenda dada wangu...Sasa kama nyie kaka zangu mmejichoka mimi nifanyeje?
Acha uchochezi nikianza kumpanga kaka yangu usianze kuliaSasa kama nyie kaka zangu mmejichoka mimi nifanyeje?
Superstar unaniangusha ujue!
Yaani akili zako unazijua mwenyewe aki le superstar
Jamani jamaniiSuperstar unaniangusha ujue!
Kuna yale majina yale....huniiti?
Mimi uwe unaniita Babe.