Niliwaza kwamba kuna mtu wa humu kadondokewa, na hii ndo thread yake.
Hatari sana huyu jamaa,Unamjua Enrique Iglesias baby? Akiimba nyimbo za kubembeleza adi una data... kuna My number one na Hero noma sana
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Dah huyu Jamaa anaimba sana hzo nyimbo ulizosema zinaweza kumtoa nyoka pangoni aisee..Naam alinikuna tu kwa wimbo wake wa Think it loud na Perfect yaani namkumbuka mrembo mmoja wa kizulu kabisa!!
Lakini ata Runtown yuko poa sana
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mwenza mpende hata ye mwenyewe basi, kijana mtaratibu si mjivuni halafu mwelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hapo mwenza wangu.
Wimbo unaitwa " Tamu" napenda Sana melody na rythm yake..
Kumbe unaweza kidogo hahaWimbo unaitwa " Tamu" napenda Sana melody na rythm yake..
Napenda wimbo unapoanza anaposema "Kasuku mwenye sauti nyororo"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ulifikiri ni mbwembwe tupu!!Yan napenda muziki kuliko kula aisee. ...
Unamjua Enrique Iglesias baby? Akiimba nyimbo za kubembeleza adi una data... kuna My number one na Hero noma sana
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Au sikuhizi amechange? Havuti bangi tena? Aibi tena? Yule yule yule.
Hatari sana chiefHodari, Nipepee na ile Nabembelezwa ni shida sana!.. Mbosso anajua kuandika.
KWANINI HUNIKATAZAGI SASA NINAPOKUIMBIAGA TUKIWA KWENYE ROMANSI, HUWA UNANIZUGA AU NDIYO KUPAGAWA TU NA SAUTI YANGU MAMA?
KWANINI HUNIKATAZAGI SASA NINAPOKUIMBIAGA TUKIWA KWENYE ROMANSI, HUWA UNANIZUGA AU NDIYO KUPAGAWA TU NA SAUTI YANGU MAMA?
Sent using Jamii Forums mobile app