Mr. Romantic

Naam alinikuna tu kwa wimbo wake wa Think it loud na Perfect yaani namkumbuka mrembo mmoja wa kizulu kabisa!!

Lakini ata Runtown yuko poa sana

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Dah huyu Jamaa anaimba sana hzo nyimbo ulizosema zinaweza kumtoa nyoka pangoni aisee..

Jipe muda tena kuisikiliza supermarket flowers hutajutia muda wako. .Runtown simfuatilii sana ila nikipata wasaa itabidi nifanye hvyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hodari, Nipepee na ile Nabembelezwa ni shida sana!.. Mbosso anajua kuandika.
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom