Mr Nice guys are not husband material

Status
Not open for further replies.
Amenena anachoamini possibly na ndo anachokiishi. Yupo kwaajili ya kuinjoy sex sio kuogopa dhambi. Kiufupi tuseme sote tumuogope mwenyezimungu na tutende mema
 
Anita huyo anatafuta vianaume mshenzi huko alafu anakuja kulialia.

Sasa mtu asimsikilize Mamaake amsikilize mwanamke kahaba mpenda pesa ambaye anamaex wanaojaa BM Coach
Acha kudanganya umma Ndugu Mtibeli. Unapotosha. BM Coach ni ndogo sana kuweza kuwabeba maex wa Anita. Labda ungesema Treni ya TAZARA na TRC ziungane.
 
Kwanza swali la msingi kwa mwanaume jiulize unataka nini kwa mwanamke, na kwa uzoefu wote huu bado tu umebeba mapokeo ya miaka ya 60? Expectations zako bado zipo valid (zitakuua tu)? Vitabu vya wakongwe vinasemaje (biblia na Kuran)? Kitabu gani kilimpa hadhi mwanamke mwandishi anayataka tumpe? Hizi ni expectations zinazokuja kukupa stress na kuingia kwenye jinai baadaye vijana. Life is really easy unless you complicate it.

By the way mnajua Obama anadivorce pia? Huenda atakua 1st lady wa kwanza kuwa divorced ikitokea coz hawaishi pamoja tena na anapata wakati mgumu dunia ikijua? Why bother? Akienda si aende tu unajali nini? Angalia maisha yako na uhai wako, Solomon alikua na 300 plus 700 who cares? kule kumefungwa bora niweke hapa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…