Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,487
- 2,422
Mwanamke mzinzi hata umpe nini hawezi ridhika. Kwa hiyo wewe umeona ni upuuzi mtu kuwa senior bachelor na kuwa na girlfriend mmoja tu? Experience unayoiongelea ni UZINZI. Unahamasisha watu wawe wazinzi ili wasiwe Nice Guys? Kimsingi umeandika mawazo ya kishetani mno. Mungu akutangulie na kukutoa kwenye haya mawazo ya uzinzi na uasherati.Mzuka JF?
Wengi wa mr Nice Guys wanakuwa wamelelewa zaidi na mama/wanawake baba anaweza awe hayupo ama yupo lakini yupo literally ABSENT ....unakuta wanakuwa hawako balanced wanakuwa na attachment na mama zaidi....yeye kila kitu ni mama, mama ndio ana decide pesa yake inatumika vipi na mama ndio kimbilio lake akiwa na chochote kinachomsibu, including misunderstanding kati yake na partner wake.....siku zote kama mke utajihisi powerless na hutokuwa na maamuzi na ndoa yako.....
La muhimu zaidi nililotaka kuzungumzia ni SEX, usiolewe na mr nice guy hawajui kuto***ba, si ajabu kumkuta yule mvaa vitenge ni bikira ama unakuta senior bachelor ashawahi kuwa na girlfriend mmoja tu au bikira hana experience. Sasa wewe jichanganye uolewe nae, hujui kutopata good sex ndio mwanzo wa moods swing, irritability na Cheating?????? asikwambie mtu foundation ya any relationship ni sex. Sasa usipopata good sex utanuna, utakuwa mgomvi utacreate unhappy home, na lenyewe halitaelewa litakukwepa na kupeleka attention kama sio kwa mamake basi kwa mchepuko!
Tumeambiwa sisi wanawake tukishafanya umalaya tunatafuta mr nice guys tunatulia nao kwa ndoa, sijui ni uongo sijui ni ukweli.,....ila kama divorce rate iko juu na wanaoolewa sio mabikira....tunaweza ku derive kwenye one conclusion; hatuolewi na Mr Nice guys kama wengi wanavyodhani ni makurumbembe tunaolewa nayo otherwise yangetulia ndoani.
Hizi mambo za Alpha na Beta ni upuuzi mwingine wa kutengeneza hofu miongoni mwa wanaume. Mwisho wa siku wanaume watakosa kujiamini na kujikuta wote wanaojiona Alpha au Beta kuwa chini ya mwanamke.I think OP ulitaka kuzungumzia Alpha men vs Beta men.
Feelings VS LOGICMpewe udongo tu sasa muumbe mwanaume mnaemtaka!.
Embu chukua time huko you are in your 40's na stori yako ni girlfriend mmoja, hio sio nature ya wanaume...kama ni wewe sooon utaleft group huna testosterone...Mwanamke mzinzi hata umpe nini hawezi ridhika. Kwa hiyo wewe umeona ni upuuzi mtu kuwa senior bachelor na kuwa na girlfriend mmoja tu? Experience unayoiongelea ni UZINZI. Unahamasisha watu wawe wazinzi ili wasiwe Nice Guys? Kimsingi umeandika mawazo ya kishetani mno. Mungu akutangulie na kukutoa kwenye haya mawazo ya uzinzi na uasherati.
Absolutely, NO....BIGGGGG NOkama hakuna good sex na hela ipo hamna tatizo
Punguza kuwaza uzinzi kwa faida yako mwenyewe.Embu chukua time huko you are in your 40's na stori yako ni girlfriend mmoja, hio sio nature ya wanaume...kama ni wewe sooon utaleft group huna testosterone...
hakuna good sex, nimeambatanisha hasara zake, ni tatizo tayari, pesa hata mr bad guys wanazo...kama hakuna good sex na hela ipo hamna tatizo
Hujui ninachowaza, so chukua time..Punguza kuwaza uzinzi kwa faida yako mwenyewe.
shindwaaa....baada ya telegram kutokuwa na uhakika kupatikana bila vpn naona sasa wamehamishia majeshi jf.
Hakuna ubaya wowote mama kuwa na ukaribu na kijana wake. Sababu kubwa ambayo inafanya wanawake msiive chungu kimoja na mama mkwe ni kutokana na kwamba wote ni wanwake kwaiyo mnajuana manipulative na cheating codes zenu. Hauwezi kukuta mume ana shida na baba mkwe au mashemeji zake. Mara zote utata unakua ni kati ya mke na mawifi au mama mkweMzuka JF?
Wengi wa mr Nice Guys wanakuwa wamelelewa zaidi na mama/wanawake baba anaweza awe hayupo ama yupo lakini yupo literally ABSENT ....unakuta wanakuwa hawako balanced wanakuwa na attachment na mama zaidi....yeye kila kitu ni mama, mama ndio ana decide pesa yake inatumika vipi na mama ndio kimbilio lake akiwa na chochote kinachomsibu, including misunderstanding kati yake na partner wake.....siku zote kama mke utajihisi powerless na hutokuwa na maamuzi na ndoa yako.....
Mpaka ukajua mr.nice guy ana perfomance mbovu kitandani je ulimlinganisha na nani? Kwamba una maex 7 unataka bwana mr.nice awazidi wote kwenye kila idara.! Get lid of that delusion and unrealistic expectations. Ulishindwa kujitunza mpaka ndoa bado unaishi na kumbukumbu za mamno yote uloypfanya na maex wako sasa izo consequencies za umalaya wako usimwangushie jumba bovu bwana nice guy. Kama unajijua ni kitombile olewa na kitombile mwenzakoLa muhimu zaidi nililotaka kuzungumzia ni SEX, usiolewe na mr nice guy hawajui kuto***ba, si ajabu kumkuta yule mvaa vitenge ni bikira ama unakuta senior bachelor ashawahi kuwa na girlfriend mmoja tu au bikira hana experience. Sasa wewe jichanganye uolewe nae, hujui kutopata good sex ndio mwanzo wa moods swing, irritability na Cheating?????? asikwambie mtu foundation ya any relationship ni sex. Sasa usipopata good sex utanuna, utakuwa mgomvi utacreate unhappy home, na lenyewe halitaelewa litakukwepa na kupeleka attention kama sio kwa mamake basi kwa mchepuko!
Divorce late iko juu na 80% ya madai ya divorce ni kutoka kwa wanawake hii ni kwa sababu mwanamke anapata reward kisheria pale anapovunja ndoa yake(mgao wa mali, child support, divorce alimony), sababu sio nice guys.Tumeambiwa sisi wanawake tukishafanya umalaya tunatafuta mr nice guys tunatulia nao kwa ndoa, sijui ni uongo sijui ni ukweli.,....ila kama divorce rate iko juu na wanaoolewa sio mabikira....tunaweza ku derive kwenye one conclusion; hatuolewi na Mr Nice guys kama wengi wanavyodhani ni makurumbembe tunaolewa nayo otherwise yangetulia ndoani.