Rodgers Bernard
Member
- Oct 14, 2018
- 66
- 63
Dalali huyo wa wasomali wenzie kwenye kupata vibari vya kuingiza sukari nchini watu wa pwani tunasema afai hata kwa kulumagia...Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Wewe ulikuwa timu, maskafu na benderaAlikuwa kambi mamvi na mzee ni mtu wa kuweka visasi.
Mchambuzi wa uchumi ni kama wachambuzi wa soka, mpe timu aifundishe sasa .....kitukoJamaa ni mchambuzi mzuri sana kwa mambo ya uchumi. Hata Mhe. Serukamba namkubali.
Kwanza team Monduli, Pili hatuongizwi na Msomali.Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Nadhani sio katika kundi la kuaminiwa na Maghufuli. Katika siasa kila mtu yupo kwenye inner circle Fulani.Nimekuwa namfatilia sana huyu Mbunge wa Nzega, uchangiaji wake bungeni hasa kwenye sector ya uchumi na kilimo, nawaza tu jamaa ana madini ya hatari sana mpka raha ,Ila kwa upeo wangu mbona Rais hata uwaziri au unaibu waziri hapewi ,pili mm kwa mawazo yangu huyu jamaa akiwa Rais wetu 2020 ,tutasonga sana mbele aisee jamaa anajua sana ,karibuni wadau tumchambue huyu jamaa kama anaweza kutufaa huko mbeleni!!
Huoni hata hata kuchukua ushauri wake utatusaidia hata kutatua baadhi ya changamoto kuliko kumpuuza kwa vile ni mtanzania msomali ni haki kweli?Kwanza team Monduli, Pili hatuongizwi na Msomali.
Nilijaribu kuonesha kwanini jamaa aangaliwi..!Huoni hata hata kuchukua ushauri wake utatusaidia hata kutatua baadhi ya changamoto kuliko kumpuuza kwa vile ni mtanzania msomali ni haki kweli?
Nimekuelewa sana mkuu,kwamba kwenye safu ya viongozi lazima uweke watu unaowaamini ambao una iman nao hawataweza kukuchimba na kukuangusha mbele ya safari,haijalishi anaongea ama kuchangia kwa kiasi gani kwenye hotuba zake,kingine nadhani tuwe wakweli wabunge wengi ni wavivu kutafuta taarifa na kufanya simple research ndio maana wanaahindwa kutoa facts hivyo kupelekea jamaa kuonekana 'kichwa' kuliko wengine!Nadhani sio katika kundi la kuaminiwa na Maghufuli. Katika siasa kila mtu yupo kwenye inner circle Fulani.
Pili, ambalo ni muhimu, jamaa kwa kweli bado inabidi afanye some homework kwa sababu mengi anayoongea si ya kweli.
Facts nyingi anazoongea ni za kupika kama alivyo Zitto Kabwe. Tatizo ni kwamba, ukipinga serikali (ambayo ni haki ya msingi) una uhakika wa kudhaniwa kuwa una uelewa mkubwa na unafikiri nje ya sanduku.
Ila huwa wanaongea kwa hisia kama waimbaji wa R&B. Mtu anaeongea kwa hisia, muogope mara nyingi ni mnafiki. Ndiyo maana waimbaji wengi wa R&B siyo watu wazuri kwenye mapenzi.
Tafuta clip ya hotuba moja uliyoipenda ya waheshimiwa hawa waili, nitakuonyesha wapi wanapokosea dakika kwa dakika.
Nilijaribu kuonesha kwanini jamaa aangaliwi..!
Mwalimu Nyerere alisema hatuwezi kumbagua mtu kwa kabila lake na hatuwezi kumchagua kwasababu ya kabila lake.
Hata mawaziri. Wengi wao kwa kweli mungu atusamehe.Nimekuelewa sana mkuu,kwamba kwenye safu ya viongozi lazima uweke watu unaowaamini ambao una iman nao hawataweza kukuchimba na kukuangusha mbele ya safari,haijalishi anaongea ama kuchangia kwa kiasi gani kwenye hotuba zake,kingine nadhani tuwe wakweli wabunge wengi ni wavivu kutafuta taarifa na kufanya simple research ndio maana wanaahindwa kutoa facts hivyo kupelekea jamaa kuonekana 'kichwa' kuliko wengine!