TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

Mod tungebaki na thread moja tu kwa hii taarifa jamani. Naona watu waisoma jukwaa moja kisha wanaanzisha kwenye jukwaa lingine. Habari yenyewe hakuna mwenye maelezo ya kutosha. This is now boring.
 
Dah, Mr. Ebbo tulikupenda ndugu, lakini Mola amekupenda zaidi...
R.I.P Bro
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii aliyejizolea mashabiki wengi hapa nchini kwa staili ya muziki wake aliokuwa akifanya, Mr Ebbo ameaga dunia leo. Mr Ebbo alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu na amefariki akiwa nyumbani jijini Arusha. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN
 
jamaa ktk wimbo wake wa mi mmasai alikuwa akinifurahisha ati ni aibu kwa morani kuliwa na samaki ikiwa atazama majini wkt akienda zanzbar bora afe kwa kuliwa na simba.
RIP Mr EBBO.
 
Poleni wafiwa MUNGU awatie nguvu

Abel Motika(Mr Ebbo) apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom