utumbo mtupu...
blue amefulia
...eeeh tishio katika nini?hahahahaha watu hamjamwelewa blue,,but inaitaji uwe wa mjini kusoma anachomaanisha kuna message kubwa sana hapo,,domo kawa tishio sasa sijui izo story ni kweli ama nini ..
kwa kukaa pale BoB kuvuta bangi siku nzima?ila mie naona blu wa sasa ana maisha mazuri kuliko yule aliyekuwa juu kwenye sanaa.
...eeeh tishio katika nini?
kwa kukaa pale BoB kuvuta bangi siku nzima?
mkuu mie niwe mkweli ujue..ila nikipita pale BoB naona wana wamechill..hebu nitonye kamanda..kuna nini kwny mkono wa mmanyema?we mgeni nini na mmanyema? watu wanaogopa ata kumshika mkono siku izi..yani ukikaa vijiwe vya wasanii kuna story nyingi..
blue na toZ awakai bure pale wanaingiza mkwanja,siunajua pesa tamu ata Iwe inanuka.
Ni muhimu kujua nini kinachojiri katika anga za Bongo Flava.....Naona Mh Dr F. Ndugulile unafwatilia mambo ya wapiga kura wako wa kariiiiibu...safi sana!