Mr 2 au Shy Rose nani anauza siri za chama chake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mr 2 au Shy Rose nani anauza siri za chama chake?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Simple, Feb 6, 2011.

 1. Simple

  Simple JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 249
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kama hawa waheshimiwa wanakula uroda, watashindwa vipi kumegeana japo dondoo mbili tatu kuhusiana na mikakati siri ya vyama vyao? Inatia shaka kwa kweli?
  Kuhusu mabwana hao kula uroda,,tembelea mjengwa blogu uisome kauli ya jafarai)mchumba wa shy rose)..
  Nina wasiwasi kama kwa siasa zetu ili swala ni la kawaida.
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Siasa hapo hakuna, hampo ni msanii wa bongo flava anatafuta umaarufu kupitia siasa. usisikilize maneno ya upande mmoja mkuu. think criticaly baba.
   
 3. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Udaku! Nafikiri hili sio jukwaa lake!
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu hili ni jukwaa la siasa sio la udaku!!!!:twitch:
   
 5. Simple

  Simple JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 249
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kama walengwa ni so called 'Mbunge wa chama pinzani' halafu mwingine ni kada wa CCM aliyekuwa anawania 'ubunge' halafu mahusiano yao sio SIASA basi peleka post hii kwenye Bongo flavour,,, wote hao ni wawakilishi wa watu,,,,Kama sijasikia maneno ya upande pili nitajuaje,nifahamishe kama unajua,,
   
 6. Simple

  Simple JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 249
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Siasa ni nini mkuu? ebu nifahamishe
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Na wewe unataka kula uroda wa shy-rose?
   
 8. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 4,000
  Trophy Points: 280
  [video]http://www.teentz.com/video/video/show?id=5352279%3AVideo%3A74283[/video]
   
 9. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #9
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Madogo wa siku hizi hivi mnasikia raha gani kutoka na wanawake wenye umri wa nyanya zenu???
   
 10. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wanaitwa Mario, wanalelewa sasa issue Manyanya wakienda kuchuma Mario wanalia wivu patamu hapo
   
 11. m

  makongorosi Member

  #11
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo tu shyrose Lakini wazee wengi wanajua kulea, wasichana wengi wanasumbua sana.
   
 12. m

  makongorosi Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuhusu siri za chama hiyo ni juu yao mbona hajaanza Mr. sugu, kwani hata katibu wetu mkuu Dr slaa na mkewe wa zamani walikuwa vyama tofauti, slaa chadema na mama chama cha mafisadi.? Zitto kabwe alikuwa anatoka na mrs mpakanjia?? kwa hiyo swala la siri za chama wanalijua wao hivyo acha waendelee kubenjuanana.
   
 13. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #13
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  kama ilivyokuwa wakati wa amina chifupa?....zito alikuwa juu kutokana na kuvuja kwa siri kulikotokana na mahusiano nao....this time siri nyingi za NMB/CCM tutazisikia toka CHADEMA....TUWAACHE WAENDELEE ILI TUYASIKIE MENGI KUPITIA MAJUKWAA YA SIASA....ILA DU...! INAELEKEA MAMA ANAPENDA DOGODOGO TENE MAARUFU
   
 14. Baiskeli

  Baiskeli JF-Expert Member

  #14
  Feb 7, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 335
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mbona sugu ni mzee, ulizieni umri wa sugu na shyrose.
   
 15. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #15
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  It does not matter!
   
 16. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #16
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye red, NO! Kwa sugu kafika, ni mtu mzima mwenzie.
   
 17. M

  Magezi JF-Expert Member

  #17
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Urodana siasa ni tofauti na hata kama wakipeana siri hina tatizo kwa sababu maamuzi ya chama hufanywa na vikao na siyo mtu mmoja.
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Feb 7, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  :A S thumbs_down::A S thumbs_down::coffee::coffee::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
   
 19. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #19
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  ... Unamaana watu wa vyama tofauti hawawezi kuwa wapenzi??...
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Tufahamishe vizuri katibu mkuu wetu Slaa siku za nyuma amewahi kufunga ndoa? naona huna habari nyingi za ndoa za watu.
   
Loading...